Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Ama kweli!Mi yangu niliitoa.nina experience ya kutumia misoprostol tu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Du nimeuza sana miso [emoji23][emoji23][emoji23]Mi yangu niliitoa.nina experience ya kutumia misoprostol tu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli baada ya first trimester unaeweza kula kila kitu
Pisi kali anamimba ndio basi tena mipango yangu ishafeli subira yangu ndio iliyoniponzaNdio niko first trimester at first nilikua nakula kitu Yani mm kila muda njaa nisione mtu anakula kitu chochote na mm kinakaa rohoni mpaka nile hicho kitu
Sasa tangu juzi nasikia mdomo mchungu Yan nakula kidogo sana najisikia kichefuchefu pia hali kama ya kutapika hivi ila najizuia, napenda sana mkate na blueband tu na chai ya maziwa hicho ndio chakula changu cha tangu juzi, nikila kitu kingine ni kidogo sana Yan najisikia hovyo
Ila nimeambiwa hiyo hali itaisha baada ya hii miezi 3 ya mwanzo[emoji25]
Usiogope tena kitakuwa kitoto cha kike hicho. Katazaliwa kembamba ila baada ya wiki 3 tu kataongezeka saana uzito. Je, Mr ukimuona roho yako husuuzika?? Mpende zaidi asijewakumbuka ma xNdio niko first trimester at first nilikua nakula kitu Yani mm kila muda njaa nisione mtu anakula kitu chochote na mm kinakaa rohoni mpaka nile hicho kitu
Sasa tangu juzi nasikia mdomo mchungu Yan nakula kidogo sana najisikia kichefuchefu pia hali kama ya kutapika hivi ila najizuia, napenda sana mkate na blueband tu na chai ya maziwa hicho ndio chakula changu cha tangu juzi, nikila kitu kingine ni kidogo sana Yan najisikia hovyo
Ila nimeambiwa hiyo hali itaisha baada ya hii miezi 3 ya mwanzo[emoji25]
mkuu umeambiwa usubir subPisi kali anamimba ndio basi tena mipango yangu ishafeli subira yangu ndio iliyoniponza
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope tena kitakuwa kitoto cha kike hicho. Katazaliwa kembamba ila baada ya wiki 3 tu kataongezeka saana uzito. Je, Mr ukimuona roho yako husuuzika?? Mpende zaidi asijewakumbuka ma x
Usijali hakika k ni cha kike hicho ndo maana mapenzi yamezidi from Mr. Angalieni, mnapokutana tena asiongeze sikio la 3.Kila mtu ananiambia ni cha kike[emoji1] Mzee baba nampenda tunapendana tena naona ndio mapenzi yamezidi zaidi japo yupo mbali kidogo ila very soon tunaenda kumlea pamoja kijacho wetu, naona yeye yuko makini sana na k kuliko hata mimi mwenyewe