Mayai ya kisasa bei cheee

Mayai ya kisasa bei cheee

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Kama unahitajia mayai ya kisasa dar au mkoa wowote tuone.
Bei dar ni
Makubwa 4400
Size ya kati 4000
Madogo 3000
Mkoani maelewano.
0654567777 mwananyamala
 
Weka picha ya hayo mayai, usikute yana ukubwa wa yai la njiwa
 
Du hii hatari sana jamani. Wafugaji wanatia huruma I see!!
Kama unahitajia mayai ya kisasa dar au mkoa wowote tuone.
Bei dar ni
Makubwa 4400
Size ya kati 4000
Madogo 3000
Mkoani maelewano.
0654567777 mwananyamala
 
4400 labda Kama unayataga mwenyewe,maana wanavyokula hao kuku faida hupati
 
Nakumbuka bank ilibidi wajieleze kwa picha hiyo ya profile yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom