L LUSANGA Member Apr 2, 2012 31 3 Apr 17, 2012 #4 Duh kwa staili iyo umri wa kuishi kwa mtanzania utapungua mpaka kufikia miaka 45 kwisha.
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Apr 18, 2012 #5 Yai gani hilo limekaa kama mshumaa???
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Jan 11, 2011 938 125 Apr 18, 2012 #6 Young_Master said: Yai gani hilo limekaa kama mshumaa??? Click to expand... haa haa haa haa haa ! Kweli mawazo hayapigwi rungu by jk.
Young_Master said: Yai gani hilo limekaa kama mshumaa??? Click to expand... haa haa haa haa haa ! Kweli mawazo hayapigwi rungu by jk.
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Jan 11, 2011 938 125 Apr 18, 2012 #7 iv iz product hata wenyewe huwa wanatumia au niaje aje hapo !
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Jan 2, 2012 883 167 Apr 18, 2012 #9 abdalah said: Mayai ya kichina,unanunua kwa kilo View attachment 51924 Click to expand... Wabongo tena kwa kupenda vitu vya mbele; yakiingia bongo itakuwa ndo fashen kuyala
abdalah said: Mayai ya kichina,unanunua kwa kilo View attachment 51924 Click to expand... Wabongo tena kwa kupenda vitu vya mbele; yakiingia bongo itakuwa ndo fashen kuyala
ze encyclopedia JF-Expert Member Nov 18, 2011 316 180 Apr 18, 2012 #11 sio photoshop,, yanatengenezwa hivi mkuu........... Wachina na Mayai 'Feki' yanayotengenezwa kwa Kemikali<o></o>
sio photoshop,, yanatengenezwa hivi mkuu........... Wachina na Mayai 'Feki' yanayotengenezwa kwa Kemikali<o></o>
Munru JF-Expert Member Oct 19, 2010 1,340 664 Apr 18, 2012 #12 yanauzwa yamechemshwa?? itakuwaje kwenye kupika kiepe yai ??
M Mukalunyoisa Senior Member Mar 16, 2012 139 25 Apr 18, 2012 #13 ndio maana tunakufa hata kwa kusukumwa tu!