Mayai Chotara yanauzwa Arusha.

Mayai Chotara yanauzwa Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,506
Reaction score
13,976
Habari zenu?

Ninauza mayai ya kuku chotara,kwa jumla na rejareja.Bei ya rejareja ni sh 9,000/= kwa teri moja na bei ya jumla ni 8,500/= kwa trei Kuanzia trei kumi na zaidi.

Mayai yanapatikana Maji ya Chai (Arusha) na unaweza kuletewa Arusha na maeneo ya jirani endapo utakuwa unahitaji mengi.

KUMBUKA: Mayai chotara ni yale yatokanayo na jogoo.

Mawasiliano: 0755 033636 au PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom