Watetezi wa Lisu awa kazi ipo!!Hakuna tofauti na kummwagia kibaka maji yenye shombo la samaki ili aliwe na paka.
Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.
Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.
View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253
Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,
View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpkWamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.
Sasa ile vita ya siku chache umesikia nguvu kazi ya Taifa teule imepoteaUkiona unazomewa ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Kule kwa bibi wanaamini kuzomewa ni uchuro.Ukiona unazomewa ujue ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Na Papa Francis naye aliteuliwa na nani na ule waraka?Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,
Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
Hate za waislam mnasema za Dunia.Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.
Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.
View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253
Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,
View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpkWamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.
Wewe fala punguani tupo hapa tunatizama habari za kimataifa huko Ulaya mataifa ya Ulaya yote yanawazomea wayahudi Kila wanapopita. Mwezi uliopita tu meli ya wayahudi ilipotaka kutia nanga raia wa Ugiriki waliizuia wakiimba "hatutaki wauaji iachieni Palestina". Balozi wa Israel nchini Ugiriki alipoiamrisha serikali ya Ugiriki kukemea hilo WAZIRI MKUU wa Ugiriki alisema "we don't learn democracy to baby killers".Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,
Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
Ndio Pembe zotee za duniaWewe fala punguani tupo hapa tunatizama habari za kimataifa huko Ulaya mataifa ya Ulaya yote yanawazomea wayahudi Kila wanapopita. Mwezi uliopita tu meli ya wayahudi ilipotaka kutia nanga raia wa Ugiriki waliizuia wakiimba "hatutaki wauaji iachieni Palestina". Balozi wa Israel nchini Ugiriki alipoiamrisha serikali ya Ugiriki kukemea hilo WAZIRI MKUU wa Ugiriki alisema "we don't learn democracy to baby killers".
Kama hutizami habari funga bakuli lako.
Ulaya kote hawaipendi Israel asahivi.
Ireland amechukua hatua ya kukatisha makubaliano ya kibiashara na Israel.
Wafaransa walioukata mti wa kumuenzi yahudi waliondoka nao kabisa na kuacha kinyango shinani pake.Raisi Macron atapata shida kuutafuta mti ule.Wewe fala punguani tupo hapa tunatizama habari za kimataifa huko Ulaya mataifa ya Ulaya yote yanawazomea wayahudi Kila wanapopita. Mwezi uliopita tu meli ya wayahudi ilipotaka kutia nanga raia wa Ugiriki waliizuia wakiimba "hatutaki wauaji iachieni Palestina". Balozi wa Israel nchini Ugiriki alipoiamrisha serikali ya Ugiriki kukemea hilo WAZIRI MKUU wa Ugiriki alisema "we don't learn democracy to baby killers".
Kama hutizami habari funga bakuli lako.
Ulaya kote hawaipendi Israel asahivi.
Ireland amechukua hatua ya kukatisha makubaliano ya kibiashara na Israel.
Dunia maarufu ina pembe 4. Pembe ya kaskazini tunaikuta Ireland na hata UK wanawazomea mayahudi.Pembe ya kusini ni Afrika kusini wamefungua kesi ICC.Ndio Pembe zotee za dunia
Any way sijalelewa kwa matusi nimelewa kwa maadili ,so huko ugiriki inatosha kujustifying kwamba ninpembe zote za dunia