Wewe ni mgonjwa wahi hospital, yaani unakunya Mara moja kwa siku halafu siku nyingine hakuna!Since everybody poops...well how often do you?..the frequency.,
Mimi ni kila siku, kama sio kila siku basi ntaruka siku moja..
Uzi tayari.,
Wewe je.,
MaJi na ufanyaji wa mazoezi huwa inachangia kurahisisha upataji wa choo kikubwaSwali la msingi . Binafsi nimegundua nikinywa maji ya kutosha kama 2litres na kuzidi napata kila siku ila nikiwa mvivu kunywa maji hata siku 3 zinapita.
ila maji ni kibokoMaJi na ufanyaji wa mazoezi huwa inachangia kurahisisha upataji wa choo kikubwa
Siku 3? Kuna tatizo hapo? Mara 2 kwa siku ni fea.Swali la msingi . Binafsi nimegundua nikinywa maji ya kutosha kama 2litres na kuzidi napata kila siku ila nikiwa mvivu kunywa maji hata siku 3 zinapita.
Nimewahi kuulizia yeah ni tatizo na ndio maana najitahidi kunywa maji plus mboga mboga kwenye msosi, nimejijulia zikipita siku 2-3 nashtuka kuna sehem nilizembea haswa maji.Siku 3? Kuna tatizo hapo? Mara 2 kwa siku ni fea.
Kuna watu wanapata mara 1 kwa wiki. Nimeshuhudia case kama hizo 2, moja ni ya mtu mzima kidogo, umri kama 45, yeye alienda wiki akaona sio kawaida, akaenda hospitali ya wilaya, akawekwa kwenye kiti kama kile cha kuwakalisha wajawazito wakati wa kujifungua, wakaingiza sindano na kumchoma ndani huko, wamemaliza ru akakimbilia chooni.
Mwingine ni mtoto mdogo, miaka 5, imemsumbua sana kabla haijagundulika, kwa wiki anapata choo mara moja, alikuwa akisumbuliwa na kuumwa tumbo, homa na kutokula. Baada ya mavipimo mengi ya gharama, ikaonekana sehemu ya utumbo haifanyi kazi, hivyo uchafu unapofika pale, ni mpaka nyuma ya hiyo sehemu ijaye ndo utokee msukumo wa kupitisha uchafu pale kutoa nje. Wamesema suluhu ni ama awekewe mfuko wa choo nje baada ya operation au aendelee kukua akifuata masharti ya misosi aliyoshauriwa.
Kwa mwezi mara tatuSince everybody poops...well how often do you?..the frequency.,
Mimi ni kila siku, kama sio kila siku basi ntaruka siku moja..
Uzi tayari.,
Wewe je.,
At what time nije nipige chabo!Soma vizuri mkuu nina afya tele
I poop everyday