May 2016 bless me with a husband!

Hahah kuumizwa kupo mshenga mie pia binadamu natumia moyo sio battery....
Mimi na atoto hatulilii ndoa,ndio maana atoto wangu yupo busy na pesa mimi niko busy na mambo yangu sitaki maumivu 2016
Something doesn't add up mshenga, fungukeni tu msifiche bwana...! BTW, ndoa ni kitu chema sana...
 
Last edited by a moderator:
Something doesn't add up mshenga, fungukeni tu msifiche bwana...! BTW, ndoa ni kitu chema sana...

Acha ufukunyuku wewe, kilicho chema kwako hakiwezi kuwa chema kwa kila mtu, ila usininukuu vibaya tu.
 
Acha ufukunyuku wewe, kilicho chema kwako hakiwezi kuwa chema kwa kila mtu, ila usininukuu vibaya tu.
Ninachoona ni chema kwangu, namshauri na mwenzangu akifanye, hakuna ubaya katika ushauri..
After all, ushauri sio amri!!
 
Something doesn't add up mshenga, fungukeni tu msifiche bwana...! BTW, ndoa ni kitu chema sana...

Hakuna cha kuficha mshenga,ndoa ni kitu chema ila sio lazima....
 
Mimi moyo wangu wa baridi kabisa kwa hawa viumbe....

Yan brenda wangu hawa viumbe wa mungu ili uweze kuishi nao kwanza wape asilimia kidogo sana kwenye moyo inayobaki jipenge mwenyewe upendeze zako na kufanya kila kitu unachopenda wao wawepo tu,mimi kwa matukio yao mmh sina hamu nao
 
We kweli zembwera...! Baba na mama ako walikuwa hivyo???
 
We kweli zembwera...! Baba na mama ako walikuwa hivyo
Hehe kwan baba na mama lazima waoane punguza kukariri.
M ninamtoto na sina mpango wa kuoa.
Na ninaenjoy life kama kawa .
 
Yani sina hamu na majanamke!Lilivonitenda moja,anyway nitajitahidi nioe hata kwa ghafla sn.
 
Duh!!bahati ilioje!jana usiku nilioteshwa nitapata mke hapa jf.kumbe ni wewe?nina furaha kubwd sana.
 
In jesus name!bwana amesikia kilio chako mpendwa tarajia haja ya moyo wako kabla ya mwezi wa sita 2016,atatenda muujiza kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…