May 2016 bless me with a husband!

Hahahaaaa!! Hilo ombi lako mbona kama sijalielewa!

Hahahaa, sasa na mimi nimeweka ombi langu walau maana ombi la ndoa mwaka 2016 halipo kwenye bichwa langu, na naona hapa watu wanaanza novena😂😂😂😂😂
 

Mimi moyo wangu wa baridi kabisa kwa hawa viumbe....
 
Amini mungu anakwenda kutenda.maana yeye si kiziwi mpaka asisikie vilio vya waja wake.Lilymashy na wooote wenye uhitaji mungu yupo nanyi kwa wakati uliokubarika.
 
It Takes Two to Tango...., Uvumilivu on your Part na Busara zinaweza kumbadilisha hata yule so Called sio Mwema na kuwa a Partner, Cha muhimu tafuta mtu ambae sio Kero kwako na tabia zake zinaweza kuvumilika kwako..., Kumbuka unatafuta partner wa kusafiri kwenye mabonde na milima hivyo you need someone you can lean on as well as when needs be he can lean on you, ukimtendea wema hata kwa mabaya yake you will have done your part kama muhimili wa familia
 
Lilymashy Mungu akupe mime mwema na mwenye mapenzi mema, mie pia Niko kwenye maombi kwa mwaka ujao nipate mume mwema najua Mungu atatenda maajabu kwetu. Cha msingi usichoke kumuuomba Mungu nae atatenda kwa wakati wake.

Amen dear mungu ni mwema na atatushangaza
 
Hahahaa, sasa na mimi nimeweka ombi langu walau maana ombi la ndoa mwaka 2016 halipo kwenye bichwa langu, na naona hapa watu wanaanza novena😂😂😂😂😂

Hahahaaaa!! Haya mama.
 

Absolutely
 
Hahah kuumizwa kupo mshenga mie pia binadamu natumia moyo sio battery....
Mimi na atoto hatulilii ndoa,ndio maana atoto wangu yupo busy na pesa mimi niko busy na mambo yangu sitaki maumivu 2016

Yaani pesa ije ije nyingi hadi nishangae, God bless me more, ila zaidi anipe hekima.
 
Last edited by a moderator:
mume nipo hapa
 

Ndoa inakuja bila hata kudate.
 
Amen my dear,2015 tulipanda 2016 tukavune,Mungu bariki kazi za mikono yetu,ukatupe kibali mbele ya macho ya watu wako
Merry xmas atoto Heaven Sent everhurt.....

2016 pesa ije kwa wingi,
Madili yajae pipa,
Kila tushikacho kigeuke dhahabu,
Tusiumizwe na mapenzi,
Furaha itawale mwaka mzima na maisha yetu yote.

Aaamin.
 
Last edited by a moderator:
Kuna msemo katika kabila fulani kwamba ukimwomba Mungu akusaidie basi na wewe unaweka kiwango sawa cha nguvu kulingana na kile unachoomba kusaidiwa. Mfano kama unaomba laki basi unakuwa na laki kibindoni.

Nakutakia kila la heri na kukuribisha katika mkusanyiko wa kumalizia majukumu yetu hapa duniani. Kwani baada ya ndoa kuna lipi tena?
 
Ombeni mtapewa...,tafuteni mtapata, pigeni hodi mtafunguliwa...
Na iwe kwako kama vile uombavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…