Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 613
- 580
Poleni wanajamvi, msaada kidogo kuna simu inaitwa maxon it is something new in the market, zipo models kama mbili hivi, ya kwanza ina RAM 2GB 32GB HDD na ya pili ina 1GB RAM 16GB HDD,plz kwa yeyote mwenye uzoefu na masuala ya simu atupie hapo jamani ili sisi tusiojua kitu tufunguke. Darasa huru likiongozwa na CHIEF MKWAWA tunaomba muongozo
Last edited by a moderator: