Maxmalipo/maxcom iliishia wapi?

Sisi hatupendi watu walioona fursa wakafanikiwa hasa wakiwa wazawa. Serikali iliwaua kabisa. Ndio maana startups nyingi hazifanikiwi.
Hii ndo point nilikuwa natafuta. Siku zote startups why hazigrow Tanzania.
 
awamu ile imeua biashara na ujasiriamali mwingi sana. tunashukuru Mungu Mama anafufua mengi kwa sasa. tuwe wakweli tu ili tujifunze kutokana na makosa.
 
Sisi hatupendi watu walioona fursa wakafanikiwa hasa wakiwa wazawa. Serikali iliwaua kabisa. Ndio maana startups nyingi hazifanikiwi.
hatujifunzi hata kwa wakenya, unaona walivyoshikilia safaricom mpesa?
 
Baada ya kuondoka mwendokasi na zile machine zao hazijawai kusoma tena tiketi, ni kama mfu sijui sababu ni nini
 
Kwa ushauri mimi kama una idea tafuta giant wauzie au kuwa partner wao alafu hata ukila kidogo ni bora kuliko kula kingi cha kidogo...., Better 5 percent of Something than 100 percent of Nothing
Kuna njia nyingine. Tafuta solution yenye market kubwa, then hakikisha unashika angala 0.01%
Kama market share ni 100,000 billions USD (223,000 trillions TZS) maana yake utakuwa na 2,230 billion USD (2.23 trilion TZS)
Huu ni mfano tu kuelezea ninachomaanisha. Kama huwezi kuwa Mkubwa, gawana makombo na wakubwa!
 
Solution yenye market kubwa unless otherwise barrier of entry ni kubwa (yaani mtaji au ujuzi) kila mtu atafanya hence competition itakuwa kubwa kupelekea either slim margins au wengine kuwekeza zaidi hence kuchukua soko zaidi...

Dunia ya leo ya competition inahitaji constant evolving, adapting, competing na kuwa macho kila dakika; any second unaweza kujikuta obsolete
 
Yaah walipewa hadi mwendokasi
Kwahio sio kwamba walikuwa Pioneers.., bali walikuja baada ya wengine (selcom) ; wakaja na mashine zao ambazo sidhani kama zilikuwa nzuri zaidi ya wengine; wakapewa exclusivity Motor Vehicle na hio Mwendokasi (ingawa sina uhakika kama ni exclusive).., hapa utaona huenda nguvu ilikuwa the people behind the people na sio the brains behind the product...

Anyway sijui hii issue kwa undani ila comepetition kwa sasa ni kubwa kuliko hapo kabla..., na Competitor mkubwa ni kutoka kwa Mabenki na Mawakala wao
 
Solution yenye market kubwa unless otherwise barrier of entry ni kubwa (yaani mtaji au ujuzi) kila mtu atafanya hence competition itakuwa kubwa kupelekea either slim margins au wengine kuwekeza zaidi hence kuchukua soko zaidi...
Kama mtaji huna na ujuzi huna basi katafute ajira tu. Maana huku hutatoboa!
Hiyo slim margin kwenye mfano wangu ni 0.01 lakini figure yake sio mchezo. Hizo kona zipo, ila sio rahisi (kama ilivyo kwa kila kitu kizuri!)
 
awamu ile imeua biashara na ujasiriamali mwingi sana. tunashukuru Mungu Mama anafufua mengi kwa sasa. tuwe wakweli tu ili tujifunze kutokana na makosa.
Inawezekana nikawa nyuma. Kuna sheria yoyote rais kasaini inayotoa incentive tofauti na uongozi uliopita?\
Naona kama kila kitu kiko vilevile but I might be wrong!
 
Inawezekana nikawa nyuma. Kuna sheria yoyote rais kasaini inayotoa incentive tofauti na uongozi uliopita?\
Naona kama kila kitu kiko vilevile but I might be wrong!
Hakuna chochote kilichobadilika Sheria zilezile za ajabu bado zipo mfano kuwa na blog au YouTube channel unakuwa kama mualifu Fulani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…