YEAH BUT WAMELALA YOOOOOOOOOSi walikuwa na mifumo mingine. M-PESA n. K
Mkuu mbona wapo? business model yao ilikwama kutokana elimu ndogo ya watanzania na ukiritimba wa kisheria na kiuchumi.Wakuu habari.
Rejea kichwa cha uzi. Ninataka kujua nini kilisababisha hawa giant kufa kifo cha mende. Nini shida na walikuwa na prospect kubwa sana ya kugrow.
Na nataka kujua zile pos machine walikuwa wananunua wapi au walikuwa wanazitengeneza?
Tuwajadili hawa Elon Mask wa Tz waliofulia.
Karibuni.
Mada ifungweHii biashara imekuja kuuliwa na awamu ya 5, hapo zamani max malipo ulikuwa unafanya huduma zoote unalipa maji,unanunua umeme unalipia zuku nk lkn ilipokuaja awamu ya 5 wakabanwa kwenye maswala ya kodi ikafikia kipindi dawasco wakajitoa kwenye max malipo ikabaki luku tu sasa ikawa ili uweze kufanya kazi ile line yao unailipia 20 elfu kwa mwaka unauza umeme kwa mwezi unalipwa 8000 watu wakaona huu upuuzi mtu akamaliza salio lake haongezi tena maaana ni hasara . Hapo ndio ukawa mwisho wao , kuna rafiki yangu ile mashine ameifungia kabatini baaada ya miaka 50 mbele tutapeleka makumbushooooooo tupige pesa turudishe pesa yetu
Sidhani kama kuna ukweli hata maxmalipo kufika pale alipo alibebwa sana Selcom alikuwepo kabla yake wakamfanyia figusi Selcom kweye malipo ya Tanesco; wakamyima Selcom kulipia Motor Vehicle akapewa Max Pekee (kwa kofia ya kampuni ya wazawa) hence ni kwamba alikuja baada ya selcom kufanya kile kile anachofanya selcom ila kwa nguvu fulani kutoka sehemu fulaniHii biashara imekuja kuuliwa na awamu ya 5, hapo zamani max malipo ulikuwa unafanya huduma zoote unalipa maji,unanunua umeme unalipia zuku nk lkn ilipokuaja awamu ya 5 wakabanwa kwenye maswala ya kodi ikafikia kipindi dawasco wakajitoa kwenye max malipo ikabaki luku tu
Sasa kama ulipia umeme alfu ishirini alafu unauza elfu 8000 x 12 hio si ni elfu 96 (jambo ambalo hata haliingii akilini sasa usipouza au ukiuza pungufu)? Pia kumbuka hapa max ni middleman anaye-facilitate products za mwingine ili apewe commission na yeye atoe commission sasa Tanesco inampa ngapi ili yeye atoe guarantee ya elfu nane... (Pili kumbuka hili suala la Luku na Wauzaji / Mawakala liliwakumba wote ndio maana hata mobiles walianza kumchaji mnunuzi kila akinunua na wengine kushusha commissions hadi 1%, vilevile Tanesco walifungua Vibanda vyao ili kuuza Luku..., kuhusu Dawasco siwezi kujua mikataba ipo vipi ila business model is the samesasa ikawa ili uweze kufanya kazi ile line yao unailipia 20 elfu kwa mwaka unauza umeme kwa mwezi unalipwa 8000
Issue sio kusumbuliwa wao (sababu wote kwenye same industry / business walipata hizo changamoto) sababu ya ukweli ni kwamba sasa hivi players ni wengi....; Mabenki yote; All mobile Providers; Selcom; n.k.watu wakaona huu upuuzi mtu akamaliza salio lake haongezi tena maaana ni hasara . Hapo ndio ukawa mwisho wao , kuna rafiki yangu ile mashine ameifungia kabatini baaada ya miaka 50 mbele tutapeleka makumbushooooooo tupige pesa turudishe pesa yetu
Kumbe ni ushindani na sio figusu. Walishindwa kucope na market!Sidhani kama kuna ukweli hata maxmalipo kufika pale alipo alibebwa sana Selcom alikuwepo kabla yake wakamfanyia figusi Selcom kweye malipo ya Tanesco; wakamyima Selcom kulipia Motor Vehicle akapewa Max Pekee (kwa kofia ya kampuni ya wazawa) hence ni kwamba alikuja baada ya selcom kufanya kile kile anachofanya selcom ila kwa nguvu fulani kutoka sehemu fulani
Sasa kama ulipia umeme alfu ishirini alafu unauza elfu 8000 x 12 hio si ni elfu 96 (jambo ambalo hata haliingii akilini sasa usipouza au ukiuza pungufu)? Pia kumbuka hapa max ni middleman anaye-facilitate products za mwingine ili apewe commission na yeye atoe commission sasa Tanesco inampa ngapi ili yeye atoe guarantee ya elfu nane... (Pili kumbuka hili suala la Luku na Wauzaji / Mawakala liliwakumba wote ndio maana hata mobiles walianza kumchaji mnunuzi kila akinunua na wengine kushusha commissions hadi 1%, vilevile Tanesco walifungua Vibanda vyao ili kuuza Luku..., kuhusu Dawasco siwezi kujua mikataba ipo vipi ila business model is the same
Issue sio kusumbuliwa wao (sababu wote kwenye same industry / business walipata hizo changamoto) sababu ya ukweli ni kwamba sasa hivi players ni wengi....; Mabenki yote; All mobile Providers; Selcom; n.k.
Kwahio competition ni stiff na unless otherwise waendelee kubebwa na kupewa favor kuliko wengine inahitaji kupambana kweli kweli na infrastructure is not on their favor (unashindana vipi na kina CRDB ambao wanatoa wigo zaidi au mitandao ya simu ambayo hata wewe unahitaji infrastructure yao ili uweze ku-compete nao).., Kwahio hali kama hii itaendelea kutokea mara kwa mara kampuni kuzaliwa na kufa kifo cha kawaida through competition
Sawa sawaSidhani kama kuna ukweli hata maxmalipo kufika pale alipo alibebwa sana Selcom alikuwepo kabla yake wakamfanyia figusi Selcom kweye malipo ya Tanesco; wakamyima Selcom kulipia Motor Vehicle akapewa Max Pekee (kwa kofia ya kampuni ya wazawa) hence ni kwamba alikuja baada ya selcom kufanya kile kile anachofanya selcom ila kwa nguvu fulani kutoka sehemu fulani
Sasa kama ulipia umeme alfu ishirini alafu unauza elfu 8000 x 12 hio si ni elfu 96 (jambo ambalo hata haliingii akilini sasa usipouza au ukiuza pungufu)? Pia kumbuka hapa max ni middleman anaye-facilitate products za mwingine ili apewe commission na yeye atoe commission sasa Tanesco inampa ngapi ili yeye atoe guarantee ya elfu nane... (Pili kumbuka hili suala la Luku na Wauzaji / Mawakala liliwakumba wote ndio maana hata mobiles walianza kumchaji mnunuzi kila akinunua na wengine kushusha commissions hadi 1%, vilevile Tanesco walifungua Vibanda vyao ili kuuza Luku..., kuhusu Dawasco siwezi kujua mikataba ipo vipi ila business model is the same
Issue sio kusumbuliwa wao (sababu wote kwenye same industry / business walipata hizo changamoto) sababu ya ukweli ni kwamba sasa hivi players ni wengi....; Mabenki yote; All mobile Providers; Selcom; n.k.
Kwahio competition ni stiff na unless otherwise waendelee kubebwa na kupewa favor kuliko wengine inahitaji kupambana kweli kweli na infrastructure is not on their favor (unashindana vipi na kina CRDB ambao wanatoa wigo zaidi au mitandao ya simu ambayo hata wewe unahitaji infrastructure yao ili uweze ku-compete nao).., Kwahio hali kama hii itaendelea kutokea mara kwa mara kampuni kuzaliwa na kufa kifo cha kawaida through competition
Sisi hatupendi watu walioona fursa wakafanikiwa hasa wakiwa wazawa. Serikali iliwaua kabisa. Ndio maana startups nyingi hazifanikiwi.Wakuu habari.
Rejea kichwa cha uzi. Ninataka kujua nini kilisababisha hawa giant kufa kifo cha mende. Nini shida na walikuwa na prospect kubwa sana ya kugrow.
Na nataka kujua zile pos machine walikuwa wananunua wapi au walikuwa wanazitengeneza?
Tuwajadili hawa Elon Mask wa Tz waliofulia.
Karibuni.
Kwa sasa pesa inapigwa sana Serikalini ukipewa Tender moja tu unaweza uka-retire na kufanya mengine..., unaweza ukafanya business to business Serikali hii ya matamko ikaja na kubadilisha sheria ukashangaa unaingia mtaani.They say if your building, B2G is not good in long run especially in Political System like Tz,...If you want to be suistainable B2B Model is real Deal to have.
Tuseme leo umegundua jinsi ya ku-solve issue ya challenge fulani yaani top notch unaanza kuifanyia kazi anakuja mtu mwenye mtaji na reach zaidi yako anachukua solution yako na yeye anaifanyia kazi..., uta-compete vipi nae...In Swahili
Wanasema si vyema saana kufanya Biashara na Serikali hasa kwa hizi nchi zetu kama Tz,....kama unatengeneza Biashara unayotegemea itafika mbali Basi fanya hiyo Biashara ifanye Biashara na Biashara zilizopo sokoni.
Find existing challenge zina face Biashara zitafutie solution yake in long run will be good on your side.
Mkuu hapa naamini. Kuifanya biashara na serikali likely ya kufeli mfumo ukibadilika ni easy sana.They say if your building, B2G is not good in long run especially in Political System like Tz,...If you want to be suistainable B2B Model is real Deal to have.
In Swahili