Maximo aaga,asema watu wanataka pepo bila kuonja mauti

Maximo aaga,asema watu wanataka pepo bila kuonja mauti

Tangu Maximo Aanze Kuifundisha Yanga, Timu Haijacheza Kiwango Cha Maana Na Hata Mechi Alizoshinda Ni Kwa Kubahatisha Yaani Ilikuwa Inazidiwa Kiuchezaji Na Kila Timu Pinzani Iliyokutananayo, Akipata Goli 1 Tukiomba Mpira Uishe Hata Kama Ni Dakika Ya 2. Hivyo Ukweli Ni Kwamba Kufungwa Na Simba Ni Sababu Ndogo Sana Kati Ya Sababu Kubwa Zilizomfanya Maximo Afukuzwe.

Kweli kufungwa kunafanya mtu uwe na adabu. Sio wewe uliyekuwa ukichonga sana kabla ya mechi ?Hukuwa unayajua haya?Au kipigo kimekuzindua?
 
Hakuna vilabu vinavyonichefua kwenye ulimwengu wa soka kama Simba na Yanga, yaani watu wa kwenye timu hizi mbili mi huwa sielewi lengo na madhumuni yao kwenye michezo ni nini hasa! Hata timu yetu ya taifa kuwa kichwa cha mwendawazimu hawa watu wanahusika moja kwa moja, nyambaff hawa.
 
Maximo yuko right kabisa na nakubaliana nae...mlipomtimua timu ya taifa mmepiga hatua gani mbele!?au hamuoni!?yaaani ndo mama mm sina time na Moira Wa kibongo

Mpe timu yako aipeleke peponi. Kama huna timu peleka 'Sheraton'.
 
Tangu Maximo Aanze Kuifundisha Yanga, Timu Haijacheza Kiwango Cha Maana Na Hata Mechi Alizoshinda Ni Kwa Kubahatisha Yaani Ilikuwa Inazidiwa Kiuchezaji Na Kila Timu Pinzani Iliyokutananayo, Akipata Goli 1 Tukiomba Mpira Uishe Hata Kama Ni Dakika Ya 2. Hivyo Ukweli Ni Kwamba Kufungwa Na Simba Ni Sababu Ndogo Sana Kati Ya Sababu Kubwa Zilizomfanya Maximo Afukuzwe.

Sababu nyingine ni ile ya kumwacha Okwi kwa madai kuwa Jaja ni 'kiboko' halafu Jaja kasoma majira akasepa mapema na kumwacha Okwi akigeuka kuwa mwiba mkali kwa Yanga.

Maximo ameonekana muongo na hakuwa na nia njema kwa chama letu.
 
Aapa hatoisahau simba na yanga,....
Asema soka la bongo alitaendelea watu wanataka pepo bila kuonja mauti umeona wapi hiyo

aisee huyu jamaa kumbe bado alikuwa anahisi anqtupeleka peponi kwa vipigo vile

ni shidaaa

src magazetiyaleo
Biblia inasema wapo walio iona pepo bila kuonja mauti...Musa, Elia...na sisi yanga tulitaka hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom