Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,240
Reaction score
5,658
1000435917.jpg

Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata.

Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi.

Nawashukuru wadau wote waliowasiliana nasi kutupa pole, waliopaza sauti kwa niaba yetu na hata kutaka kujua wanaweza kutoa msaada wa aina gani.

Kilichotokea Mchana: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
 
Hivi hawa wahuni wana kinga gani mpaka wasifahamike ni wahuni wa aina gani? Nchi zingine tayari wangeishakamatwa na mpango wao kujulikana na wametumwa na nani. Tumechoshwa na hali hii wahuni kuvamia media house alafu hawafahamiki lengo lao ni nini na nani yuko nyuma yao
 
View attachment 3466045

Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata.

Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi.

Nawashukuru wadau wote waliowasiliana nasi kutupa pole, waliopaza sauti kwa niaba yetu na hata kutaka kujua wanaweza kutoa msaada wa aina gani.

Kilichotokea Mchana: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi.🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
View attachment 3466045

Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata.

Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi.

Nawashukuru wadau wote waliowasiliana nasi kutupa pole, waliopaza sauti kwa niaba yetu na hata kutaka kujua wanaweza kutoa msaada wa aina gani.

Kilichotokea Mchana: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiw

View attachment 3466045

Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata.

Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi.

Nawashukuru wadau wote waliowasiliana nasi kutupa pole, waliopaza sauti kwa niaba yetu na hata kutaka kujua wanaweza kutoa msaada wa aina gani.

Kilichotokea Mchana: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
halafu hata speed ya seva iko chini sio kawaida. Au ndo DOS attack
 
Imarisheni ulinzi getini, ukaguzi ufanyike. Hakikisheni kila mgeni anayetembelea ofisi za JF anaweka taarifa zake bayana kwenye kitabu cha wageni. Aandike ofisi anakotoka, asaini na namba yake ya simu iwe bayana.... Kama utaratibu huo upo tayari isiwe kesi, kama haupo Tafadhari .... Iwe "Mandatory" hata kwa magari yanayoingia JF. 🤔
 
Biashara imeishia hapo ,yaani watu wavamie mchana kweupe ,halafu uambiwe wanafatilia 🤣🤣

Biashara imeishia hapo ,watarudi kivingine
 
Back
Top Bottom