Ahsante kwa taarifa, tunasubiri 'tumkaange' live...
Jamani wapendwa nimeona ni-share na nyie hili, nimepitia page ya EATV na kuona wameweka kuwa kesho katika chat yao ya KIKAANGONI LIVE, watamkaanga mwanzilishi wa Jamii Forums, naamanisha atachati na kujibu maswali ya watu tofauti kuhusu yeye na jamii forumsView attachment 147083
Kumbe huyo ndio Mwanzilishi wa JF mbona sijawahi kumsikia siku zote nilifikiri JF Mali ya CHADEMA!
Muda gani?
Kumbe huyo ndio Mwanzilishi wa JF mbona sijawahi kumsikia siku zote nilifikiri JF Mali ya CHADEMA!
Muda gani?
Melo ndo nani,tunaomba kujuzwa.wekeni CV
Ni vizuri kupata uwelewa mpana kabla ya kujiunga na kitu chochote. Inaelekea hata kanuni za JF hujawahi kuzisoma wewe.
Join Date : 31st January 2014
Posts : 331
Rep Power : 261213
Likes Received
90
Likes Given
1
Ndio zetu hizi za kuangalia picha na heading bila kuangalia content kama huyo mdau alieuliza mudaMzee unajua kusoma nakuandika?!
Mzee unajua kusoma nakuandika?!
Kusoma sawa hujui, ina maana hata hiyo picha umeshindwa kuiona kweli?!