Max shimba ministry;Tcra hawamuoni kweli?

Max shimba ministry;Tcra hawamuoni kweli?

Facebook mwenyewe hawamuoni?
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
 
ndo kwanza namsikia leo huyu jamaa....ngoja nimu-gugo
 
Ngoja ni muaad huko fb ili awe rafiki na mimi nijifunze
 
Hana uwezo wa kuchambua Quran
Kwenye Uyahudi ili uchambue Torati au Talmud ni lazima utumie vitabu vya Midrash kufahamu maana halisi ya vifungu.
Kwenye Uislamu ni hivyo hiyo kwani Quran na hadithi zimeandikwa kifalsafa na kimafumbo hivyo unahitaji vitabu vya tafsiri na vinavyo sherehesha maana ya Aya sasa huyu kafiri hana elimu hiyo na yeye kubakia na tafsiri yake ya kihayawani.
Kwenye agano la kale kuna mahali Jacob alimwambia Mungu asimamishe jua na mwezi awamalize Wakaanani mchana.Tunajua ukisimanisha jua haizui usiku kuingia na hapo ndipo unahitaji elimu kutafsiri maana yake.
Kama kujua kusoma biblia tuu unaweza kuhubiri Maaskofu wasingesomea kiwango cha PhD.
Ni ushamba unawasumbua
Mkuu natumaini ulikuwa unamaanisha Yoshua na Si Jacob . Thanks.
 
Anachambua Quran kwa tafsiri sake mwenyewe anazozijua za kejeli,then hajasoma Quran ni mpuuzi tu kama vibaka wengine.
Anachofanya ni kuleta mgawanyiko na ugomvi kati ya waislamu na wakristo we Tz kwa sababu haishi hapa.
Hana tofauti na mange kimambi kwa upuuzi wake,na supporters wake wote ni wendewazimu na hayawani
 
Huyo Jamaa ninafuatilia post zake facebook yupo vzr mno sema ndio hvyo wasiomuelewa watapiga kelele tuu
 
Anachambua Quran kwa tafsiri sake mwenyewe anazozijua za kejeli,then hajasoma Quran ni mpuuzi tu kama vibaka wengine.
Anachofanya ni kuleta mgawanyiko na ugomvi kati ya waislamu na wakristo we Tz kwa sababu haishi hapa.
Hana tofauti na mange kimambi kwa upuuzi wake,na supporters wake wote ni wendewazimu na hayawani
Acha Uongo Maxi Shimba yupo nchini na Jimbo lake ni Kawe... Siku zile za kiki za Makonda za Kero za Maji alipata kushika mic akajitambulisha kwa sauti lake zito... wewe ni shabiki maandazi mzandiki, Muongo na mpotoshaji... Maxi ana kanisa lake na hukaribisha wabishi na wasioujua ukweli
 
Wanadini mna kazi kweli,Mimi humblock mtu ajadiliye dini kwa maana ya kashfa.Kinyume chake nakaribisha hoja zenye hoja ili tujadiliane na tufahamishane.Juu ya hili mtoa mada usihangaike moyo,hapa dunia kuna miungu zaidi ya 5000 inayo abudiwa ila wakweli ni wa kwako tu.Wengine wote ni miungu magumashi hivyo mtu akikuchokonoa kuhusu hilo we furahi kwakuwa hamjui Mungu wako
 
Max Shimba anaishi Marekani na Facebiok ni ya Wamarekani TCRA hawana uwezo wa kumfanya lolote.

Anayoyaandika Max Shimba kuhusu uislamu anayachambuwa kutoka kwenyd Quran yenyewe hivyo hakuna kashfa hapo zaidi y wewe kusumbuliwa na ushambenga.
Ushambenga teh teh
 
Back
Top Bottom