Max shimba ministry;Tcra hawamuoni kweli?

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
226
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
 
hebu weka matusi yake acha mzaha na wewe.... huyo jamaa niliwahimsoma humu jf sana yeye hatukani bali anachambua yaliyoandikwa kwenye vitabu vya dini hiyo... nilijaribu kufuatilia nikakuta ni kweli mtupu ni sawa na Yule Nabii Tito aliyokuwa akiyasema ni ya ukweli mtupu sema ujinga wa watu wakioneshwa ukweli hukasirika na kukuita unawatukana but vitabu ndio vimeandika maneno hayo why usikasirikie vitabu aliyeviandika? ukweli humuweka mtu huru...

Ukinukuu vifungu vinavyosomeka kuwa Yesu alitengeneza Divai iliyochachushwa (Pombe)Watu wakanywa wakafurahi wakanywa na kulewa sio Tusi hilo au Ukanukuu kuwa Mtume alioa Kitoto cha miaka 9... sio tusi ndio vitabu vimeandika... Nabii Nuhu alilewa hadi akavua nguo mwanae akamcheka ndio miongozo hiyo uchague ufuate au uache
 
hebu weka matusi yake acha mzaha na wewe.... huyo jamaa niliwahimsoma humu jf sana yeye hatukani bali anachambua yaliyoandikwa kwenye vitabu vya dini hiyo... nilijaribu kufuatilia nikakuta ni kweli mtupu ni sawa na Yule Nabii Tito aliyokuwa akiyasema ni ya ukweli mtupu sema ujinga wa watu wakioneshwa ukweli hukasirika na kukuita unawatukana but vitabu ndio vimeandika maneno hayo why usikasirikie vitabu aliyeviandika? ukweli humuweka mtu huru...
Wewe na huyo maxshimba wote akili zenu zinafanana.

Lazima umtetee.
 
Nilitarajia ww mwenye akili tofauti na zao uta wajibu kwa hoja ambazo ni tofauti na zao.....umeishia kuwatoa akili/kuwa fananisha akili embu tujaribu kubishana kwa hoja.......ruksa kuniweka kwenye kundi la watu wenye akili zinazo fanana nao.
 
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Max Shimba anaishi Marekani na Facebiok ni ya Wamarekani TCRA hawana uwezo wa kumfanya lolote.

Anayoyaandika Max Shimba kuhusu uislamu anayachambuwa kutoka kwenyd Quran yenyewe hivyo hakuna kashfa hapo zaidi y wewe kusumbuliwa na ushambenga.
 
Sasa huku ndio TCRA?kama unakerwa nenda TCRA,tusibaki tu kutoa mipovu wakati unajua sehemu ya kutolea malalamiko tu mabingwa sana wa keyboard,unaona jambo linatokea badala ya kwenda sehemu husika unakimbilia JF,sio wote wanasoma JF usiwe kama yule kiongozi wa wavaa khaki aliyesema mtu anayetaka kujua sera za chama chake kipya akasome mtandaoni.
 
Nilitarajia ww mwenye akili tofauti na zao uta wajibu kwa hoja ambazo ni tofauti na zao.....umeishia kuwatoa akili/kuwa fananisha akili embu tujaribu kubishana kwa hoja.......ruksa kuniweka kwenye kundi la watu wenye akili zinazo fanana nao.
Hoja gani haijajibiwa kwa hoja?

Be specific please.

Katika uzi huu uliouanzisha hakuna hoja za Max Shimba zinazokashifu uislamu ulizoziweka,tutajadili na kujibu hoja gani wakati hoja zenyewe wewe uliyeanzisha thread hujaziweka.
 
Max Shimba anaishi Marekani na Facebiok ni ya Wamarekani TCRA hawana uwezo wa kumfanya lolote.

Anayoyaandika Max Shimba kuhusu uislamu anayachambuwa kutoka kwenyd Quran yenyewe hivyo hakuna kashfa hapo zaidi y wewe kusumbuliwa na ushambenga.
Mkuu hakuna kafiri aichambue qur'an kisha abakie kuwa salama, hata wale ambao hujienza Qur'an kwa lengo aje auchafue uislam huwa wanaishia kusilimu,
 
Hoja gani haijajibiwa kwa hoja?

Be specific please.

Katika uzi huu uliouanzisha hakuna hoja za Max Shimba zinazokashifu uislamu ulizoziweka,tutajadili na kujibu hoja gani wakati hoja zenyewe wewe uliyeanzisha thread hujaziweka.
Katoa mifano ambayo iko kwenye vitabu vitakatifu.........ukaishia kumfananisha akili zake na Max-Shimba.
 
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Mwenzako anasoma na kuchambua wewe unakaririshwa na viongozi wako wa dini....ndio tofauti yenu ilipo.
 
Max shimba kawazidi hoja mnataka kukimbilia tcra

Jamaa anawachambua waislamu kwa quran na hadithi, hajawi kutukana wala kukashfu,
Hana uwezo wa kuchambua Quran
Kwenye Uyahudi ili uchambue Torati au Talmud ni lazima utumie vitabu vya Midrash kufahamu maana halisi ya vifungu.
Kwenye Uislamu ni hivyo hiyo kwani Quran na hadithi zimeandikwa kifalsafa na kimafumbo hivyo unahitaji vitabu vya tafsiri na vinavyo sherehesha maana ya Aya sasa huyu kafiri hana elimu hiyo na yeye kubakia na tafsiri yake ya kihayawani.
Kwenye agano la kale kuna mahali Jacob alimwambia Mungu asimamishe jua na mwezi awamalize Wakaanani mchana.Tunajua ukisimanisha jua haizui usiku kuingia na hapo ndipo unahitaji elimu kutafsiri maana yake.
Kama kujua kusoma biblia tuu unaweza kuhubiri Maaskofu wasingesomea kiwango cha PhD.
Ni ushamba unawasumbua
 
Ngoja nimtafute huko face book nione anachoandika.
 
Kwanza yeye hatumii tafsir ya qur'an ila tafsir zake anazozijua yeye mwenyewe.
Hata ukiristo katika biblia ukiamua kutumia tafsir zako mwenyewe na sio maana halisi ya biblia basi utapata uliyoyakusudia.
Unachotakiwa kufanya ni kumpuuza kwasababu hapunguzi chochote kwenye uislam na walikuwepo wa kabla yake na hawakufanikiwa.
Hakuna mtu hata siku moja alishinda kwa kukashifu dini yoyote ile, walioupinga ukristo na uislam wameviacha kama walivyovikuta.
 
Pamoja na kwamba Mimi sio muislamu ila huyu jamaa anayejiita Max shimba ministry huko Facebook naona anadhalilisha sana dini,Mara nyingi hupost Mambo mbalimbali yanayochafua dini ya kiislamu,kwa kuandika matusi na kudhihaki watu mbali mbali ,je huyu jamaa haonekani na Tcra? achukuliwe hatua?
Nenda kamripoti, tusipotezeane muda hapa.
 
Back
Top Bottom