Mawazo yangu kuhusu Wilaya ya Makete

Habari wana jamii?
Mimi nimezaliwa mkoa wa Njombe wilaya Makete.
Kutokana na tatizo la barabara nyingi katika wilaya yetu kuwa ni za vumbi na kufanya usafiri kuwa mgumu sana.
Mara nyingi napata wazo la eneo letu la Makete kujitenga kutoka nchi ya Tanzania na kuunda nchi mpya ya Makete ili tuweze kupata maendeleo nasisi kama wilaya zingine.
Tatizo la Makete ni barabara tu kwa asilimia nyingi.
Niko kijijini kwetu Madihani tarafa ya Bulongwa nimerudi kwa ajili ya likizo.Ni muajiriwa mkoa wa Dar es Salaam.
Naomba kushauriwa.
Mbunge wenu prof ameshindwa kama alivyoshindwa tuntemeke sanga? haina haja ya kujitenga ..bali chagueni wabunge kutoka upinzani ..lkn kama mtaendelea kuchagua vilaza kutoka ccm bc msitegemee miujiza ...na falsafa ya ccm sehem wanakokubalika sana huwa hawapeleki maendeleo..
 
Waambie wakinga waache kuichagua ccm!! Kweli road ni Mbaya sana nilisha waifika makete maeneo ya Lupila, vp ukimwi umepungua siku iz? Make wakinga nanyi hamko nyuma
 
Mbunge wenu prof ameshindwa kama alivyoshindwa tuntemeke sanga? haina haja ya kujitenga ..bali chagueni wabunge kutoka upinzani ..lkn kama mtaendelea kuchagua vilaza kutoka ccm bc msitegemee miujiza ...na falsafa ya ccm sehem wanakokubalika sana huwa hawapeleki maendeleo..

Tukichagua upinzani hata kale kalami kadogo walikotengeneza watakabandua mkuu, usitudanganye wenzio tunakula na kipofu
 
Tukichagua upinzani hata kale kalami kadogo walikotengeneza watakabandua mkuu, usitudanganye wenzio tunakula na kipofu
Lusajo kale kadaraja ka kule masoko mnakovuka kwa kamba vp ujenzi unaanza lini !? wanyakyusa muache sasa kuichagua ccm bc ..mnazudiwa ujasiri hata na wanyamwanga na wanyiha ..daah
 
Acha uoga ww ..ccm wanakokubalika sana hakunaga maendeleo ..

Sisi tuna mitikasi yetu tunaendelea nayo mambo ya siasa yanasumbua. Mitikasi yetu imetuwezesha kupata umeme, na hiyo barabara ya lami tayari tunawekewa vipande kwenye maeneo mabaya sana. Hata mwezi uliopita nilikuwa huko mambo yatakuwa fresh tu taratibu
 
Lusajo kale kadaraja ka kule masoko mnakovuka kwa kamba vp ujenzi unaanza lini !? wanyakyusa muache sasa kuichagua ccm bc ..mnazudiwa ujasiri hata na wanyamwanga na wanyiha ..daah

Hahaha mi chotara mkuu ngoja nidili kwanza na Makete huko Kutukuju ntarudi
 
Hahaha mi chotara mkuu ngoja nidili kwanza na Makete huko Kutukuju ntarudi
Usitegemee ccm kuwaletea maendeleo huko makete bila kufanya mabadiliko ya chama ...ccm ni twilya twi luta nkojho ...utwasikono ...hahahaa nkinga ndi nkinga lkn ndi mbotown ..dah badilikeni bana
 
Usitegemee ccm kuwaletea maendeleo huko makete bila kufanya mabadiliko ya chama ...ccm ni twilya twi luta nkojho ...utwasikono ...hahahaa nkinga ndi nkinga lkn ndi mbotown ..dah badilikeni bana

Nkojo, esiasa etse tsikhotojiatsa tu. One nandinokwa okhopolehetsa etsya sisiem wala chadema
 
jamani wengine kiingereza hatujui, hatukusoma shule. naomba muongee kiswahili maana siwaelewi.
 
Habari wana jamii?

Mimi nimezaliwa mkoa wa Njombe wilaya Makete.Kutokana na tatizo la barabara nyingi katika wilaya yetu kuwa ni za vumbi na kufanya usafiri kuwa mgumu sana.Mara nyingi napata wazo la eneo letu la Makete kujitenga kutoka nchi ya Tanzania na kuunda nchi mpya ya Makete ili tuweze kupata maendeleo nasisi kama wilaya zingine.Tatizo la Makete ni barabara tu kwa asilimia nyingi.Niko kijijini kwetu Madihani tarafa ya Bulongwa nimerudi kwa ajili ya likizo.Ni muajiriwa mkoa wa Dar es Salaam.

Naomba kushauriwa.
unataka kujitenga? huko Makete kuna bahari? mna bandari nyie? mkijitenga ndo mtazidi kulala kwenye vumbi.
 
Back
Top Bottom