Mawazo yangu juu ya wanaume

Binafsi yangu

Hapo haujamzungumzia mwanaume ila umemzungumzia binaadamu kiujumla yaani mwanamke na mwanaume

Binaadamu haswa wanatakiwa wawe hivyo kwa maelezo yako sio mwanaume pekee wala mwanamke pekee
 
Gender based nonsense.
 
Unahisi father figure influence ndio inasababisha mtoto wa kiume asipoteze male identity?

inaweza ikawepo na mtoto akapoteza pia.
Uanaume hautengenezwi wala hautafutwi.
male boundaries na masculinity mtu anaweza zaliwa nazo tu kwa 100% bila kujifunza, au ni zile instincts tu za kiume?
 
male boundaries na masculinity mtu anaweza zaliwa nazo tu kwa 100% bila kujifunza, au ni zile instincts tu za kiume?
Ni vyote tyuuh, unless useme father figure influence inataka kustay kwenye nini.

Ila uanaume hautengenezwi wala hautafutwi.
 
Ni vyote tyuuh, unless useme father figure influence inataka kustay kwenye nini.

Ila uanaume hautengenezwi wala hautafutwi.
Male boundaries, Biological masculinity traits,Social masculinity / male identity , sio kwamba kuna namna tunachanganya mafaili🤔
 
si kwa miongozo ya vikao vya wanaume
Inasikitisha sana, Millenials (age 30+) ndio walijazana pale

Wakapewa na dress code kabisa black suit, shati jeupe, tai nyekundu na kiingilio 50k

Nabii anawafundisha "nilimnunulia mke wangu iPhone 17 siku hiyo hiyo akanipa unyumba."

Kweli mwanaume wa miaka 30+ unalipia 50k kufundishwa kuomba uchi wa mke wako! WTF!!

Gen Z wataendelea kuwadharau sana mabroo wao
 
Male boundaries, Biological masculinity traits,Social masculinity / male identity , sio kwamba kuna namna tunachanganya mafaili🤔
Labda nikupe uhuru wee, unataka tujadili nini, ili tusipteze focus.

Maana mie binafsi naona hivyo vyote unavyotaja, havihitaji father figure influence ili viwepo.
Ni vinajitosheleza vyenyewee.
 
Labda nikupe uhuru wee, unataka tujadili nini, ili tusipteze focus.

Maana mie binafsi naona hivyo vyote unavyotaja, havihitaji father figure influence ili viwepo.
Ni vinajitosheleza vyenyewee.
Kusema kuzaliwa navyo kwa 100% sio kweli mengine anahitaji father figure influence au jamii ya watu wakiume walio mzunguka ila kupata social masculinity na male boundaries 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…