By
king'asti kwa taarifa yako huduma za hospitali na kitabibu hazibagui. Yeyote ambaye anahisi amepata accidental exposure ana haki ya kupata hii huduma. Acha kupotosha, kama mnahukumu watu huko
unakosali basi hospitali huduna hazibagui.
Inaingia akili umnyime mtu pep halafu akishapata hiv usiulize uliipata wapi na uanze tu kumpa huduma na art? Ni akili matope ama? Kila liwezekanalo kupunguza uwezekano wa mtu mmoja kupata hiv linafanyika, kwa upendo na bila
kuhukumi.
Spare us your 'holier than thou' attitude.
MBONA MBIO HIVYO! BY THE WAY [
kwa taarifa yako huduma za hospitali na kitabibu hazibagui] ,HIYO TAARIFA UNAYONIPA UMEITOA WAPI? BONGO HII HII AU KUNA NYINGINE YA MABOX ULIYOJITENGENEZEA ? KAMA HUDUMA HIZO HAZIBAGUI REFFERAL ZINAZOLALAMIKIWA HUZIJUI! NI ZA WATU WA DARAJA GANI?[MALARIA KUTIBIWA INDIA,
S.AFRICA],WAKATI HOSPITALI HAZINA ALU WALA PANADOL,HUO SIO UBAGUZI?,..
NDIO MAANA NIKAKARIBISHA MASWALI
KWA MAELEZO MAFUPI UTOAJI WA KINGA HIZO UMEGAWANYWA KATIKA SEHEMU ZIFUATAZO
- HIV PEP in Occupational Exposure
- HIV PEP in Sexual Exposure[(rape/sexual assault), as well as in the
case of slipped or broken condom during sex with discordant partner. ]
- HIV PEP INAYOTOLEWA KWENYE AJALI ZA VYOMBO VYA MOTO[kwa waliokutana na damu wakati wakitoa msaada kwa wahanga wa ajali,na hata kwa majeruhi wenyewe kama walikuwa zaidi ya mmoja hii itategemea degree and severity of injury,maaana pia zinaweza kumplicate matibabu]
MPAKA SASA KWA UFAHAMU WANGU KITAALUMA NA KIKAZI, KINGA ZILIZOPEWA KIPAUMBELE NI
- Occupational Exposure[ KWA AJILI YA HEALTH CARE PROVIDERS]
- HIV PEP in Sexual Exposure[(rape/sexual assault). HII HUTOLEWA IKIAMBATANA NA UJAZAJI WA VIAMBATANISHO VYA KISHERIA[POLICE, N.K]
- HIV PEP INAYOTOLEWA KWENYE AJALI ZA VYOMBO VYA MOTO[MTA]
Inaingia akili umnyime mtu pep halafu akishapata hiv usiulize uliipata wapi na uanze tu kumpa huduma na art? Ni akili matope ama?
UFAHAMU WANGU KIKAZI
UOGA WA MAAMBUKIZI,.
- .WOTE NI WADAU WA NGONO,.HILO HALIPINGIKI NA NI MOJAWAPO YA SABABU ILIOTULETA DUNIANI [nendeni mkazaane na muongezeke muijaze dunia].LAKINI KILA MMOJA WETU NI MUOGA WA MAAMBUKIZI .KUNA WATU WENGINE HATA BAADA YA KUTUMIA KINGA[CONDOM] BADO WANA WASIWASI WA MAAMBUKIZI.
- AJALI YA KUPASUKIWA NA KINGA[CONDOM KUTOKUWA KATIKA UBORA UNAOTAKIWA,UHIFADHI USIOKIDHI VIWANGO, UVAAJI USIO SAHIHI N.K
- KUTOKUAMINIANA KWA WENZA [WANANDOA,WAPENZI], HAWA WOTE WANAKUWA KATIKA HALI YA WASIWASI WA MAAMBUKIZI MUDA WOTE
- NGONO BILA KINGA [NGONO ZEMBE] N.K
SABABU;
HAYO MAKUNDI YOTE NILIYOYATAJA HAPO JUU YAPO KATIKA UHITAJI WA KINGA, LAKINI UKIANGALIA ,
NI KUNDI LA UOGA WA MAAMBUKIZI LENYE WATU WENGI KULINGANISHA NA WAATHIRIKA WA VVU AMBAO WAPO KWENYE MATIBABU .
KIASI CHA DAWA KILICHOPO NI KIDOGO UKILINGANISHA NA MAHITAJI. KUNA WAKATI[MWAKA JANA] WAGONJWA WALIFIKIA HATUA YA KUGAWANA DAWA ,KOPO MOJA WATU WAWILI ,KUNA WAKATI ILIFIKIA KOPO KWA WATU WATATU. SASA HIYO ILITOKEA KWENYE BIG CTC CENTRES.HIZO NDOGO SIJUI ILIKUWAJE WE PATA PICHA.
ALIYEATHIRIKA AKIANZA KUTUMIA ARV,HATAKIWI KUSIMAMA WALA KUACHA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKE,KWANI KUSIMAMA AUKUACHA MADHARA YAKE NI MAKUBWA.
[ REF ,POST LOLIONDO HIV REPORT]
- SASA WEWE UNATOKA POVU MDOMONI , BILA LOGIC YOYOTE, UNATAKA KILA MTU AGAWIWE,.BASI UNDA PROGRAM YAKO YA MABOKSI, UGAWIE KILA MTU,NA ZINGINE ZIWEKE KWENYE MAGEST KABISA ILI KILA ANAYEJIHISI KAAMBUKIZWA APEWE KOPO LAKE NA NYINGINE GAWIA WANA NDOA WASIOAMINIANA;HAPO NDIPO ITAKAPOKUINGIA AKILINI KAMA UNATUMIA UBONGO KUFIKIRI , NA KAMA UNAFIKIRI KWA KUTUMIA YALE YA WABUNGE WA DARISALAMA! BASI KY ITATUMIKA NA ITAINGIA KULE KUNAKOTAKIWA BILA TABU,ASUBUHI UKIONA MATOPE USILIE, UJUE UMESHAKUWA, NA HAPO PEP HAITAHITAJIKA AMINI NAKUAMBIA.
Inaingia akili umnyime mtu pep halafu akishapata hiv usiulize uliipata wapi na uanze tu kumpa huduma na art??! WEWE NI DAKTARI KWELI? MHmhhm ,,..
Spare us your 'holier than thou' attitude. SABATO MASALIA HUWA HAMJIFICHI,..vipi ile safari yenu ya kwenda ulaya bila pasi na tiketi iliishia wapi?au ndio umerudi na ushuda huo wa kimabox ,
.,,,,,, MY TAKE AGAIN ACHENI KUPOTOSHA WATU ,MPAKA SASA TANZANIA HIV PEP HAITOLEWI KWA MAELEZO YA NGONO ZEMBE,,,........