Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 558
- 1,145
Mkuu Maneno Matakatifu Yanachanganya Hapo Umesoma hivyo Sehemu nyingine ndani ya kitabu hicho hicho wameandika vingineHeri masikini... wa...
kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao! ongezapo na hii
Kila Lakheri MkuuHilo kundi la kwanza nishaanza kulikimbia, it's the matter of time niagane nalo kabisa.
Upo kundi gani hapaDuniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu.
Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri
MASKINI
1.Matajiri Ni Mafisadi
2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga
3.Matajiri Ni Freemason
4.Matajiri Wameachiwa Urithi
5.Matajiri Walidhulumu mali za Watu.
MATAJIRI
1.Maskini Ni Wavivu
2.Maskini Wanalalamika Sana
3.Maskini Wameridhika
4.Maskini Wanapuuza Fursa
5.Maskini Wanasubiri Kusaidiwa
Mtizamo Hii ya Matabaka Haya mawili ni ya kila Kundi Kuhalalisha lilipo.
Mkuu mimi Ni Maskini Mwenye mtazamo chanyaUpo kundi gani hapa
Ni Wengi ila sio Wote mkuuKwa mazingira ya afrika apo kuna ukweli maana matajir wengi utajir wao unaukua na ukakas kuanzia upataj,uendelezwaji na hata mwisho wao vivyo ata maskin nadhan unaona ata ww
Nani alishawahi kwenda mbinguni akarudi?Heri masikini... wa...
kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao!
Mkuu Swala la Dini lina ukakasi Sana,Lakini ni vyema Kuheshimu imaniNani alishawahi kwenda mbinguni akarudi?
Usiamini tu makaratasi yaliyoandikwa na mwanadamu ambae hajawahi kwenda na kurudi.
Wewe wasema....Nani alishawahi kwenda mbinguni akarudi?
Usiamini tu makaratasi yaliyoandikwa na mwanadamu ambae hajawahi kwenda na kurudi.
Ndio anakuaje...?Mkuu mimi Ni Maskini Mwenye mtazamo chanya
Achana na huo mtazamo jinenee utajiri na mafanikioMkuu mimi Ni Maskini Mwenye mtazamo chanya
Maskini Mwenye mtizamo chanya Ni mtu anaekubali uhalisia Kuwa Hana Uchumi Mkubwa kwa Wakati husika Na ana chagua kupambana kutafuta Namna ya kusogeza hatua zake za kiuchumi kuliko kuridhika na alipo.Ndio anakuaje...?
Msemo Wa Wahenga Maneno Yanaumba,Nadhani Walichanganya Nafikiri Walikusudia kusema Nidhamu Inaumba.Achana na huo mtazamo jinenee utajiri na mafanikio
πππ Mkuu Ngoja na Mimi Nianze Na Mtaji Wa 20,000 Ntaleta Mrejesho.Ushahidi wenye ukakasi kupitia stor za matajir wa kibongo 1.super feo anasema alianza na mtaji wa 20k leo ndio king wa usafir uko kusini, 2.shababy akiwa chini ya miaka 20 tayar alijinunulia busi leo ana mimolena na mabasi mengi.3.SSB alianza na kuuza maji na pipi leo ndio mlipa kodi bora. 4.uku kitaa kuna bro alianza kuendesha bodaboda 2011 tena haikua yake ila sasa tayar anamiliki fuso 4,toyota coster 7 na ukimuliza anakwambia anaheshimu kidogo na kukitunza adi kawa tajir
πππ Kama Ni Bange Basi Tunanunuaga na Kuvuta Wote,Kama Sivyo Basi Zinabaki kuwa Tuhuma Chonganishi.Acha kukariri maisha ,acha bange.