Sokomoko JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,915 Reaction score 130 Jan 7, 2011 #21 Safari_ni_Safari said: Unaweza kukuta ni kadume ila ugumu wa maisha kanavalishwa gauni Click to expand... Kama kadume katakuwa kanasura ya mamake
Safari_ni_Safari said: Unaweza kukuta ni kadume ila ugumu wa maisha kanavalishwa gauni Click to expand... Kama kadume katakuwa kanasura ya mamake
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,162 Reaction score 9,190 Jan 7, 2011 #22 Mzee Mwanakijiji said: kutoka facebook huko: Click to expand... Mtoto kama huyu badala ya kurahia michezo anawaza sijui atakula nini au maji yanapatikana wapi? Hii ndio nchi yetu ya amani na utulivu.
Mzee Mwanakijiji said: kutoka facebook huko: Click to expand... Mtoto kama huyu badala ya kurahia michezo anawaza sijui atakula nini au maji yanapatikana wapi? Hii ndio nchi yetu ya amani na utulivu.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Jan 7, 2011 #23 mtoto anawaza maisha magumu na njaa sijui tutafika
KIPANYA Member Joined Jan 3, 2011 Posts 61 Reaction score 2 Jan 7, 2011 #24 Safari_ni_Safari said: Unaweza kukuta ni kadume ila ugumu wa maisha kanavalishwa gauni Click to expand... kakike bwana unajua kanawaza nini!!!!!!!!!!? mateso waliyopata ndugu zetu kule Arusha, je itakuwaje pindi atakapokuja kukua miaka hiyo?
Safari_ni_Safari said: Unaweza kukuta ni kadume ila ugumu wa maisha kanavalishwa gauni Click to expand... kakike bwana unajua kanawaza nini!!!!!!!!!!? mateso waliyopata ndugu zetu kule Arusha, je itakuwaje pindi atakapokuja kukua miaka hiyo?
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,955 Reaction score 2,489 Jan 7, 2011 #25 Pearl said: yap jaluo,ochio nande? Click to expand... achio maber, into ichio nade?
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,733 Jan 8, 2011 #26 Mzee Mwanakijiji said: kutoka facebook huko: Click to expand... inauma mtoto mdogo kaja duniani juzi tu, tayari kajua maisha ni magumu mno, labda anawaza sina, viatu vya shule, uniform, chakula shida, maji kuyachota, hata anaonekana nguo, mwili na jasho jingi, muda si mrefu atakata tamaa, inaumaaaaa
Mzee Mwanakijiji said: kutoka facebook huko: Click to expand... inauma mtoto mdogo kaja duniani juzi tu, tayari kajua maisha ni magumu mno, labda anawaza sina, viatu vya shule, uniform, chakula shida, maji kuyachota, hata anaonekana nguo, mwili na jasho jingi, muda si mrefu atakata tamaa, inaumaaaaa
Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,737 Jan 8, 2011 #27 Anasubiria jamaa apite amgawie peremende/pipi!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,151 Reaction score 9,272 Jan 8, 2011 #28 mmmhhh imeni huzunisha....
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Jan 8, 2011 #29 Na hilo lindoo la maji sijui atalibaba yeye Mungu wangu. Duu ama kweli dunia hii bora waliokufa, wamejipumzikia zao.
Na hilo lindoo la maji sijui atalibaba yeye Mungu wangu. Duu ama kweli dunia hii bora waliokufa, wamejipumzikia zao.