Mawazo mgando

Sababu ni wimbo ambao unapigiwa kwa ajili ya roho ya wazalendo, sio mili ya viruka njia...
 
Sababu ni wimbo ambao unapigiwa kwa ajili ya roho ya wazalendo, sio mili ya viruka njia...

kwa jinsi Ivuga alivyo kilaza atakuwa hajakuelewa una maana gani, hebu fafanua kwa faida yake na yangu pia pamoja na vilaza wengine kama Ivuga.. Lol
 
kwa jinsi Ivuga alivyo kilaza atakuwa hajakuelewa una maana gani, hebu fafanua kwa faida yake na yangu pia pamoja na vilaza wengine kama Ivuga.. Lol
Maana yangu ni kwamba kuna nyimbo za kupigwa disco ili watu wafurahishe miili, na nyimbo zingine za kukaa ukitafakari na kupandisha hamasa ya kuisongesha nchi yako mbele. na nyimbo hizo haziwezi kamwe kupigwa in the same spaces. wimbo wa taifa haufai in the club.
 
Poa, hope Ivuga atakuelewa sasa,,
 
Kwasababu ukiwa disko utaifa unauweka pembeni.
 
biti yake haiendani na ile ya ndombolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…