Mawazo kuhusu Gravitational force-Nguvu ya uvutano

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Katika mambo ya ajabu ambayo mtu anaeza akapinga. Ni ukweli kuwa dunia ni duara, na wote tumesimama juu yake, wengine kichwa chini miguu juu, wengine mlalo, na wengine kichwa juu miguu miguu chini.

Unajua kuwa bila nguvu hii ya uvutano huwezi fanya lolote duniani, iwe kulima, kugegeda, kutembea, kurusha ndege, kujenga nyumba n.k !
 
Rudi darasani kasome tena. Hakuna aliye ulalo wala kichwa chini miguu juu. Ukipata div 5 usilalamike.
 
Earth 2.jpgGravity 3.jpgGravity.jpgEscape velocity.jpg

Waalimu imerbidi tuingie darasani, na asiyellewa presentation hii inayoanzia dhana ya kuwa uvutano wa dunia ndio unatushika tubaki duniani na kuwa kila kitu duniani kinavutwa kuelekea katikati ya dunia. Pili nguvu hii ya uvutano inaelezeka kimahesabu na kuwa, ili uweze kuutoroka huu uvutano lazima utoke duniani na spidi kuuubwa inaitwa escape velocity ambayo sisi huku Katavi tunaipractice kila mara tunaporuka na ungo!!! Asiyeelewa ani pm au basi arudi darasani
 
Katika mambo ya ajabu ambayo mtu anaeza akapinga. Ni ukweli kuwa dunia ni duara,na wote tumesimama juu yake ,wengine kichwa chini miguu juu,wengine mlalo,na wengine kichwa juu miguu miguu chini. Unajua kuwa bila nguvu hii ya uvutano huwezi fanya lolote duniani,iwe kulima,kugegeda,kutembea,kurusha ndege,kujenga nyumba n.k.
Kuna vitu umevitaja sijawahivvisikia popote ... Ili useme huyu amelele, ni lazima uwe na reference... sasa wewe reference yako ni miguu kugusa ardhi au kichwa kugusa ardhi huku ukiwa straight?
 
Katika mambo ya ajabu ambayo mtu anaeza akapinga. Ni ukweli kuwa dunia ni duara,na wote tumesimama juu yake ,wengine kichwa chini miguu juu,wengine mlalo,na wengine kichwa juu miguu miguu chini. Unajua kuwa bila nguvu hii ya uvutano huwezi fanya lolote duniani,iwe kulima,kugegeda,kutembea,kurusha ndege,kujenga nyumba n.k.

natafuta fursa niende Afrika kusini nafikiri huko ni karibu na spole nikapate uzoefu wa kutembea kichwa chini miguu juu.

Sijaelewa kidogo akili yangu inawezekana imelala kwakuwa nipo karibu na ikweta na hapa tulipo tukiamka tunakuwa tunatembea ktk pembe 90 kulingana na mtu aliye npole, hivyo wao wanatuona tunatembea tukiwa tumelala na tunasimama muda wa kulala.
Hakika sijaelewa kabisa.
 
Habari ndo hiyo, yaani unaweza kuwa upside down in thé south relative to one in thé north
 
View attachment 186295View attachment 186296View attachment 186297View attachment 186298

Waalimu imerbidi tuingie darasani, na asiyellewa presentation hii inayoanzia dhana ya kuwa uvutano wa dunia ndio unatushika tubaki duniani na kuwa kila kitu duniani kinavutwa kuelekea katikati ya dunia. Pili nguvu hii ya uvutano inaelezeka kimahesabu na kuwa, ili uweze kuutoroka huu uvutano lazima utoke duniani na spidi kuuubwa inaitwa escape velocity ambayo sisi huku Katavi tunaipractice kila mara tunaporuka na ungo!!! Asiyeelewa ani pm au basi arudi darasani

Mkuu ni kweli unahizaji escape velocity ili utoroke uvutano. Lakini ungo,ndege ziko ndani ya uvutano.rocket and shuttles to thé weighless space ndo hutumia escape velocity
 
Mkuu ni kweli unahizaji escape velocity ili utoroke uvutano. Lakini ungo,ndege ziko ndani ya uvutano.rocket and shuttles to th¨¦ weighless space ndo hutumia escape velocity

usiwawekee wigo wachawi, nani anajua labda wanaenda kufanya mikutano pluto au kuchimba dawa ya kutibu mapenzi huko mars.

Kama vitu viwili vilivyo katika umbali fulani vinavutana, popote ulipo utakuwa na uzani kama alivyo weka mlinganyo mama mdogo hapo juu.
 
Nadhan ni muda sahihi wa kuwa na interview kama hujawa member wa JF
 
no one is up-side down......think big

Its all a matter of reference point. If reference point yako ni ofisi ya chama tawala hapo kijijini basi utajiona upo sawa/ wima. Thinking big means transferring your reference position to distant stars.
 
kuna kitu hata wanascience wanasema. baada ya theory zao zote ni NATURE ndio inadetermine. hiyo ni theory na imekuwa proved na binadam kama sisi. wametuletea proof ambazo ni lazima ziendane na mawazo yao. katika proof zao zote ni lazima upate 9.8. unafikiri wakat wanaipitisha hyo hakukuwa na waliokua na majib yao? tuzikubali kila tunachoambiwa ila tuamini ni hivo. samahanini niliowakera
 
View attachment 186295View attachment 186296View attachment 186297View attachment 186298

Waalimu imerbidi tuingie darasani, na asiyellewa presentation hii inayoanzia dhana ya kuwa uvutano wa dunia ndio unatushika tubaki duniani na kuwa kila kitu duniani kinavutwa kuelekea katikati ya dunia. Pili nguvu hii ya uvutano inaelezeka kimahesabu na kuwa, ili uweze kuutoroka huu uvutano lazima utoke duniani na spidi kuuubwa inaitwa escape velocity ambayo sisi huku Katavi tunaipractice kila mara tunaporuka na ungo!!! Asiyeelewa ani pm au basi arudi darasani

Speed ya mwanga aisee. Si mchezo escape velocity
 
natafuta fursa niende Afrika kusini nafikiri huko ni karibu na spole nikapate uzoefu wa kutembea kichwa chini miguu juu.

Sijaelewa kidogo akili yangu inawezekana imelala kwakuwa nipo karibu na ikweta na hapa tulipo tukiamka tunakuwa tunatembea ktk pembe 90 kulingana na mtu aliye npole, hivyo wao wanatuona tunatembea tukiwa tumelala na tunasimama muda wa kulala.
Hakika sijaelewa kabisa.

Na wewe ni mkorofi, umenifurahisha kweli kweli.

Watu wanachangaya, dhana ya dunia duara na gravitational force.
Nadhani mleta maada amepata elimu zaidi (amekumbushwa ipasavyo pale alipo sahau au kuto elewa dhana hii)
 
Its all a matter of reference point. If reference point yako ni ofisi ya chama tawala hapo kijijini basi utajiona upo sawa/ wima. Thinking big means transferring your reference position to distant stars.

Naona umeamua ku-apply psychology ili kumlazimisha akubali unacho sema.

Give him fact akuelewe, zaidi ni malumbano tu, labda awe mwerevu.
 
Mkuu ni kweli unahizaji escape velocity ili utoroke uvutano. Lakini ungo,ndege ziko ndani ya uvutano.rocket and shuttles to thé weighless space ndo hutumia escape velocity

Nakubali kuwa, ungo,ndege ziko ndani ya uvutano. Lakini ndege na helicopter ili ziweze kuruka zinahitaji kuweka sawa masuala ya Weight, Lift, Drag na Thrust. Kwa upande mwingine ungo ingawa unapaa na kusafiri kwenda mbele, kulia, kushoto nyuma na chini na una weight, lakini masuala yake ya Lift, Drag na Thrust hayaeleweki, ila kwa watu wachache tu, walio na utaalamu huo!!

Flight forces.jpg
 
Speed ya mwanga aisee. Si mchezo escape velocity

Asante kwa kuona hilo. Kidole kiliteleza, uwe na amani!!!!

v[SUB]esc[/SUB]=(2 * G * M / r)[SUP]1/2[/SUP]
=[SIZE=+1]([/SIZE] 2 * (6.67 * 10[SUP]-11[/SUP]) * (5.98 * 10[SUP]24[/SUP]) / (6.378 * 10[SUP]6[/SUP]) [SIZE=+1])[/SIZE] [SUP]1/2[/SUP]
=1.12 * 10[SUP]4[/SUP] meters/second
=11.2 kilometers/second
 
natafuta fursa niende Afrika kusini nafikiri huko ni karibu na spole nikapate uzoefu wa kutembea kichwa chini miguu juu.

Sijaelewa kidogo akili yangu inawezekana imelala kwakuwa nipo karibu na ikweta na hapa tulipo tukiamka tunakuwa tunatembea ktk pembe 90 kulingana na mtu aliye npole, hivyo wao wanatuona tunatembea tukiwa tumelala na tunasimama muda wa kulala.
Hakika sijaelewa kabisa.

nmecheka unanifanya nionekane zuzu.........kwa hiyo.....madiba iltembelea kichwa.......?
 
Back
Top Bottom