Mawaziri wateule wasio na vyama

Mawaziri wateule wasio na vyama

Ni makada hao na kadi za kijani wanazo, umesahau ya naibu spika tulikuwa twaulizana humu lini aliwahijiunga na chama chetu pendwa??
 
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.

I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Katiba ya warioba ilitaka mawaziru wasiwe wabunge lkn kenge wa kijani wakaiharibu. Sasahv magufuli anatekeleza hiyo katiba ya warioba
 
Hayamkini uteuzi wa mawaziri ambao ni viongozi ambao si wana siasa unaweza kuleta matunda. Kwani hao watafanya kazi bila uoga kwa vile wana taaluma zao tofauti na wanasiasa ambao huwa wanabidi kujipendekeza ili watunze vitumbua vyao.
 
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?

Sasa wewe ndiye una uelewa wa siasa za kimataifa? maramia wewe ni zuzu wa kufunga mwaka 2015 kwa sababu hujui na hujui kuwa hujui. Waziri wa ulinzi aliyeanza katika cabinet ya Obama alikuwa republican Robert Gates aliyedumu hadi 2011. Kisha Obama aliteua democrat mwenzake lakini mwaka 2013 alimteua chuck Hagel, repulcan mwingine kuwa waziri wa ulinzi. Sasa unaposema Kitulo hajui, nakuona buege sana. Kufeli chuo isiwe shida, mambo mengine unapata google university; zuzu mkubwa wewe!
 
Last edited by a moderator:
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?

Pole, punguza jazba. Obama alipoingia madarakani aliyekuwa waziri wa ulinzi. Katika serikali ya Bush aliendelea na wadhifa huo katika serikali ya Obama Obama pia aliongeza mawaziri watatu toka chama cha upinzani cha Rebublican kuongoza wizara za serikali yake, ingawa mmoja alikataa uteuzi huo.
 
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.

I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.

Why doubting? Give reasons.
 
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.

I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.

Yule mwenye mdomo mkubwa na makarope nao hawana vyama.
 
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?

Obama ktk awamu yake ya kwanza ya uongozi aliwachagua Republicans watatu.
 
Alimwacha, tena waziri wa ulinzi wa Bush kuendelaea, anatwa Robert Gates, just google utaona

Pia kuna yule Republican aliyeteuliwa ktk wizara ya Kazi,na mwingine ktk wizara ya mambo ya usalama wa ndani. Hata baadhi ya maofisa wake wa kitengo cha kiintelijensia walikuwa Republicans.
 
Back
Top Bottom