Cha kusubiri ni report ya CAG ya mwakani basi ,maana ofisi nyingi za serikali huwezi kupima utendaji , urasimu ndo umejaa na very poor customer service, wanahitaji training kwa kweli
Hapa sijui watanzania wanashindwa kuelewa nini! Hivi kama gari imechoka injini(Mbovu)gari itatembea sawasawa? Kilichofanyika ni kubadili rim mpya, bodi jipya, rangi lakini gari inachemsha nakutiwa maji kila baada ya kilometa moja. Ndo baraza la mawaziri hilo,Si umeona magufuli anavozibwa makali/utendaji na JK mwenyewe?
Wakuu jamaa ndo kamaliza kazi ya kitaifa.Tuangalie watakao mwangusha katika utawala wake wa kumalizia.Nionavyo mm hawa hamna kitu.J. Makamba, A. Malima, Prof. Maghembe,Kawamba, ...Wasira, Mwinyi, Twendelee
kama hatukuelewa ilikuwa ni bahati mbaya lakini mchora katuni Masoud Kipanya (KP) alitoa analysis nzuri ya kinachoendelea na hasa katika mfumo wa siasa uliopo kwa hivi sasa.
Hii katuni ipo hapa jamvini lakini kama hukubahatika kuiona hii hapaView attachment 53476
jamani kwan mabunge wa kike ambao wanaweza kuwa mawaziri wazuri hawapo kila siku hawa ghasia,magu,cjui naniiiiii hata bora mama sitta alijitahidi,kama hawapo baraza la wanaume wachapa kazi linawezekana kuwepo si dhambiiiii