Mawaziri watakaomwangusha JK

Aangushwe mara ngapi?alishaangushwa siku nyingi
 
waacheni wafanye kazi nyie mmefanya nn kusaidia taifa?,, mnaoongeea sana.
 
Thanks every body cince cdm is going 2win without massive fight of citizens of this good Nation.
 
Wakuu jamaa ndo kamaliza kazi ya kitaifa.Tuangalie watakao mwangusha katika utawala wake wa kumalizia.Nionavyo mm hawa hamna kitu.J. Makamba, A. Malima, Prof. Maghembe,Kawamba, ...Wasira, Mwinyi, Twendelee


JK mbona alishaangushwa zamani
 
Amejiangusha mwenyewe kwa kuwa Mr. Cheka cheka!
 
Tatizo sio mawaziri tatizo ni kikwete mwenyewe, kikwete ni domo tuu ila kivitendo yuko chini sana. Yote ya wezekana bila ccm na kikwete.
 
Mkuu una mawazo chanya mara nyingi humu JF watu wanaongoza kwa kulaumu na kupond kila anachofanya JK lakini ukichunguza sana utakuta huu ni ugonjwa tu wa kisaikolojia ambao unaambatana na tatizo la malezi waliyoyapata ya hovyohovyo wakiwa wadogo wanajihisi kuwa wanaweza wao kufanya kila kitu kikaenda sahihi,lakini mtu anaelaumu sana akaitwa na kupewa yeye Uwaziri atafanya madudu mara mia ya hayo tuloyaona tuwaache Mawaziri wetu wafanye kazi walopewa na Raisi wetu tusubiri tuone na si kulaumu tu!
 
Lukuvi is a shuleless, hana uelewa wowote, that position aliyewekwa inahotaji a lawyer perse... jamaa ni mbumpumbu sana kwa totoz...
 
Msanii haachi usanii...na anza na huyu hapa:
  1. Waziri wa viwanda na biashara, Dr Abdallar .O. Kigoda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Link:Abdallah Omar Kigoda - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Utakufa nacho kijiba cha roho, kuwa Rais huchaguwi, ingekuwa anachaguwa mbona Dokta wa Kanoni hakujichaguwa?

Hiyo ripoti ya CAG mngeijuwa isingekuwa ubunifu wake? wacha porojo za baa.
 
achemshe mara ngapi?tangu anaingia Jk aliishachemsha tayari.kama ni mgonjwa yupo ICU tusubirie tuone kama atapona au laa
 
Msanii haachi usanii...na anza na huyu hapa:
  1. Waziri wa viwanda na biashara, Dr Abdallar .O. Kigoda
From Wikipedia, the free encyclopedia

Link:Abdallah Omar Kigoda - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa hapo alipowekwa sitashangaa akiingia kwenye list ya matajiri wakubwa East Africa baada ya kumaliza term yake jamaa ni mwizi mzoefu.
Kikwete sijui anafikiria nini?? Mtu alishaiba lakini leo unamrudisha sehemu nyeti ambayo atajitwalia utajiri zaidi...Nonsense.
 
cdm leo wanamkutano nmc Arusha baraza la mawaziri jipya ni moja ya ajenda.slaa atatoa utumbo wa kila waziri ndo utapojua ccm hakuna msafi bora amrudishe mamvi kichwani
 
humu jf kichefuchefu tu kuna watu kazi yao kulaumu tu,km ni watabiri waseme tujue.ny******a nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…