kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,309
- 12,604
Unapochaguliwa mpya kuna kipindi kirefu cha kujifunza (latent phase) kabla ya kujuwa nini cha kufanya vinginevyo utaparamiaparamia ovyo Kwa njia ya kukurupuka Kwa kiwewe, hofu na woga wa kuepeka ya mtangulizi wako.
Kama kosa sio la jinai ni heri aliyeko akajengewa uwezo zaidi badala ya kuwekwa bench na kuteua atakayeanza Kwa kujifunza kwanza au kuparamia.
Kama kosa sio la jinai ni heri aliyeko akajengewa uwezo zaidi badala ya kuwekwa bench na kuteua atakayeanza Kwa kujifunza kwanza au kuparamia.