Mawaziri wanaokaimu nafasi ya Waziri Mkuu punde anapokuwa na dharura, ndio wanaoandaliwa u~PM?

A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
670
108
Hoja ni kwamba,
Mawaziri wanaokaimu nafasi ya Waziri Mkuu punde anapokuwa na dharura, ndio wanaandaliwa katika nafasi ya kuwa Waziri Mkuu kama ilivyo dhana kuwa baadhi ya maraisi tulio nao walipitia nafasi ya kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, ambao mara nyingi katika ziara za raisi huongozana nae?

Nawasilisha hivi kwakuwa, mh. Pinda akiwa na dharura anamkaimisha mh. Samwel, kama hayupo Samweli anakaimishwa Mwandosya.
Je kuna uwezekano kuwa waziri mkuu ajae kati ya Samweli Sita au Mwandosya kupewa kipaumbele endapo watachaguliwa kuwa wabunge katika majimbo yao? Ama Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge?
 
Back
Top Bottom