Mawaziri wa Ukanda wa Pwani ndio wameelemewa na Ubadhirifu ulioripitiwa na CAG. Kambaya wa CHADEMA anza na hawa!

Wapo binadamu waajabu sana. Wanatawaliwa na chuki zakidini. Haitakaa itokee watu wote waende kanisani au msikitini.
Wenye chuki zakidini wanauelewa mdogo sana tena waonewe huruma.

Wanadam wote amewaumba Mungu na hao unaowachukia Mungu anawapa rizki,oxygen,makazi bora na mpaka anasa wanafanya lakini Mungu hajawachoka.
Ninarudia wenye chuki zakidini hawajielewi tena watakufa haraka kwa kihoro
 
Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi

Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia

Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali

Sabato Njema!
Wamewatimua wasukuma wa watu kwa chuki,Sasa wavaa kobasi sijui atafanyaje sasa
 
Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
Hakuna alosema ktk hyo ripoti hakuna mkristo ila anasema WENGI wanatoka pwani.
 
Wewe ni kiazi Tibaijuka na muhogo, Magufuli na Richmond wapi na wapi?

Kulikuwa na Mazuri Karamagi na Dk Ibrahim Msabaha

USSR



Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hamna kitu kabisa unaakili za kuvukia barabara tu na una utoto mwingi,CCM haiwezi kutenganishwa na ufisadi,na hakuna mwanaccm msafi kuanzia wewe mpk msukuma
 
Back
Top Bottom