Kinachohitajika kwa Tanzania ni Miiko ya Uongozi. Tukiwa na Code of Ethics kwa viongozi wetu na msimamizi wao akaisimamia basi viongozi wetu wataelewa kuwa jukumu tunalowapa si DEAL bali utumishi.Tatizo ni kwamba hatuna regulating body inayoweka mipaka ya umiliki wa mali kwa viongozi wetu. Tukipigia kelele hili twaonekana ni wenye wivu...
Hivi 'Uwaziri' ni DEAL?
Sio uwaziri tu, kuna wizara na wizara ambazo hizo ukiwekwa ujue kuna kitu.. sidhani kama wizara ya wanawake jinsia na watoto kuna deal kama hizo!!
hivi ulikuwa hujui?
na sasa nasikia mkulu anataka kuwapa DEAL akina J. Makamba na Kigwangala!!!
Hongera Mkulu kwa kutoa deal kwa vijana :A S 41::A S 41:
Nothing personal, hivi Ngeleja ana biashara gani? Ni mkopo? Ni mshahara wake tu? Isijekuwa ni mgawo wa DOWANS...
Uwaziri ni deal sana ndiyo maana watu wengi wanaingia kwenye madeni makubwa sana ya kugombea UBUNGE kwa mategemeo kwa anaweza kubahatisha kuwa WAZIRI halafu aanze vimbwanga vyake. Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Karibu wote, nasikia mzee mzima Pombe niyo balaa, yeye anazo tatu pale Kinondoni. Hiyo sio mbaya sasa wateja wake wanajenga barabara za Tanganyika.mbona hayo mambo madogo tuuu!
aaaah wacha tujipe moyo!
Huyo mleta mada kaibuni tu hiyo, lakini haelewi kuwa hata vibanda vya Kariakoo ambavyo bado havijauzwa kwa sasa vina fetch zaidi ya hizo.
Mleta mada unazijuwa nyumba za Mbowe Uingereza na Dubai? na lile jumba la Disko pale Dar unaweza kutuambia kalipataje?
mbona hayo mambo madogo tuuu!
aaaah wacha tujipe moyo!