Mawaziri na wabunge waliofanya vibaya katika bunge la bajeti...

naomba ueleze udhaifu wa uongozi sio ushabiki, hivi wasira amelala mara ngapi? zitaje.
je do you think kuna waziri vigillant kama wasira?
fanya utafiti nijibu.

Mkuu usimtetee Wasira,hata church uwa analala sana...waulize waumini wenzake watakwambia.............Pale bungeni always uwa analala,maana kulala kunaweza kukaonekana kwa macho au hata akili pia.............yule ni mlalaji usimtetee.....
 
ktk mawaziri walofanya vbya:1.NGELEJA-Tatzo la umeme lililopo had ssa ni hstori mbya kwa nchi.2.Celina komban-kaonesha wazi kuwa kapewa wizara ya katba na sheria kama hisani tu.Hajui a.b,c za sheria.na kama co ungangar wa wanaharakati hata huu mchakato wa katiba ucngekuwepo..50%ya wbnge wa ccm ni hopeless wapo pale kwa ajl ya kutetea kile linaloletwa mble yao,na zaid wapo pale kiposho
 
MAWAZIRI/MANAIBU WAZIRI WALIOFANYA VIZURI BUNGE LA BAJETI:
1. JOHN POMBE MAGUFURI
2. WILLIAM LUKUVI
3. NAIBU WAZIRI TAMISEMI-MWANRI
4. NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII
5. LUCY NKIYA
6. SHUKURU KAWAMBWA
7. NAIBU WAZIRI WA MAJI
8.STEVENI WASIRA
9, MATHAYO DEVID
10. MAGEMBE
11. MPONDA HAJI
12. KOMBANI-BIG UP
MAWAZIRI/MANAIBU WAZIRI WALIOCHEMSHA
1. NGELEJA
2. OMARI NUNDU
3.FEDHA
3. WAZIRI KIVULI KATIBA NA SHERIA
WABUNGE WALIOFANYA VIZURI
1. WABUNGE WOTE WA NCCR MAGEUZI
2. LISSU
3. MREMA
4. JOHN CHEYO
5. MNYIKA
6. MDEE
7. LYMO WOTE WAWILI
8. ANNA KILANGO MALECELA
9. MBOWE
10. ZITTO
11. OLE SENDEKA
12. IDD AZAN
13. MBUNGE WA RUFIJI
14. SIMBACHAWENE
15. SPIKA NA WASAIDIZI WAKE WOTE
16. mkono
17. kigwangala
18. zainabu vullu

WABUNGE WALIOCHEMSHA
1. MZEE WA UJIRA WA MWIHA
2. VITI MAALUM SIMIYU-''Mh.sipika bariadi maji tabu; mh. sipika bariadi maji tabu''
3. matiko
4. regia mtema
5. mfaki
6. viti maalum lindi-Chadema
 
MAWAZIRI/MANAIBU WAZIRI WALIOFANYA VIZURI BUNGE LA BAJETI:
1. JOHN POMBE MAGUFURI
2. WILLIAM LUKUVI
3. NAIBU WAZIRI TAMISEMI-MWANRI
4. NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII
5. LUCY NKIYA
6. SHUKURU KAWAMBWA
7. NAIBU WAZIRI WA MAJI
8.STEVENI WASIRA
9, MATHAYO DEVID
10. MAGEMBE
11. MPONDA HAJI
12. KOMBANI-BIG UP

MAWAZIRI/MANAIBU WAZIRI WALIOCHEMSHA
1. NGELEJA
2. OMARI NUNDU
3.FEDHA
3. WAZIRI KIVULI KATIBA NA SHERIA
WABUNGE WALIOFANYA VIZURI
1. WABUNGE WOTE WA NCCR MAGEUZI
2. LISSU
3. MREMA
4. JOHN CHEYO
5. MNYIKA
6. MDEE
7. LYMO WOTE WAWILI
8. ANNA KILANGO MALECELA
9. MBOWE
10. ZITTO
11. OLE SENDEKA
12. IDD AZAN
13. MBUNGE WA RUFIJI
14. SIMBACHAWENE
15. SPIKA NA WASAIDIZI WAKE WOTE
16. mkono
17. kigwangala
18. zainabu vullu

WABUNGE WALIOCHEMSHA
1. MZEE WA UJIRA WA MWIHA
2. VITI MAALUM SIMIYU-''Mh.sipika bariadi maji tabu; mh. sipika bariadi maji tabu''
3. matiko
4. regia mtema
5. mfaki
6. viti maalum lindi-Chadema

Mkuu hao niliowa-bold kwa red color nadhani hujawatendea haki,ni kati ya mawaziri vilaza sana katika hili baraza la sasa la JK...........na JK mwenyewe hanajua.Huyu Kombani wakati mchakato wa kudai katiba mpya unaanza aligoma,watu walipomjia juu akasema..."NILIKUWA NATIKISA KIBERITI NIONE...." sasa haya maneno ndio ya kusemwa na waziri jamani? Wasira yeye kazi yake ni kuchapa usingizi tu na kusubiri kutetea hata upuuzi,Mathayo David kwanza ni Dr wa uongo kasoma vyuo visivyotambulikana na TCU na akiwa kwenye kikao hapa Dodoma kazi yake ni kurandaranda CRDB kuchukua hela za kujionyesha kwa wateja kuwa nae ni waziri...sisi hatutishiki na uwaziri ambao hauna tija kwa taifa...
 
Back
Top Bottom