Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

Wakati akitangaza Baraza la Mawaziri, Rais Magufuli alisema hakuna haja na hakutafanyika semina elekezi kwao na atakayeshindwa kufanya kazi bila semina elekezi ajiondoe mwenyewe.

Hata hivyo Ikulu imeona umuhimu wa semina hiyo na imeandaa semina elekezi kwa mawaziri wote. Semina hiyo inatarajia kufanyika kesho Alhamisi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Tofauti ni kwamba semina elekezi ya JK ilifanyika Ngurdoto, Arusha lakini semina elekezi ya Magufuli inafanyikia Dar es salaam.

Inadaiwa waandaaji wa Semina hii ni Tume ya Maadili

Mwenyekiti wa CCM Taifa ametoa maelekezzo hayo alipomtembelea JPM Ikulu hivi karibuni
 
Magufuli kwako hana jema.Ni wivu tu unaokutesa.Najua chaguo lako lilikuwa Lowassa.Frankly sipati picha Lowassa angekuwa ikulu pangefanana je leo.Nadhani lingekuwa pango la wanyang'anyi with Rostam Aziz as the ring leader.Pole sana kwa kutojitambua.
Tujiandae mambo mengi ya JK yatarejea taratibu. Naupenda ule wimbo unaosema "CCM NI ILE ILEEE OOOH NI ILE ILEEEE....."
 
Hivi Simbachawene anayetutesa na bei ya mafuta baada ya ile dili yake ya bilioni 42 atakuwepo kwenye Seminar? Mwakyembe je? Muhongo aliyevujisha ishu ya flow meter naye ataalikwa? Namuonea huruma raisi wangu JPM, kazungukwa na majizi ambayo yatakuwa yanamlia timing tu
 
Magufuli,you couldn't be better comrade.Aluta continua.
Wakati akitangaza Baraza la Mawaziri, Rais Magufuli alisema hakuna haja na hakutafanyika semina elekezi kwao na atakayeshindwa kufanya kazi bila semina elekezi ajiondoe mwenyewe.

Hata hivyo Ikulu imeona umuhimu wa semina hiyo na imeandaa semina elekezi kwa mawaziri wote. Semina hiyo inatarajia kufanyika kesho Alhamisi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Tofauti ni kwamba semina elekezi ya JK ilifanyika Ngurdoto, Arusha lakini semina elekezi ya Magufuli inafanyikia Dar es salaam.

Inadaiwa waandaaji wa Semina hii ni Tume ya Maadili
 
Ni bora hao mawaziri wakapewe job descriptions zao kwenye hiyo semina elekezi hapo kesho, kwa kuwa wengine walifikia mahali hawakuwa wanajua kabisa nini wanapaswa kufanya hadi wakageuka 'maaskari' wa kufunga mageti ya kazini kwao, kwa kile walichodai kuwa wanadhibiti wafanyakazi wachelewaji!

Hivi kweli wizara yote haina mtu wa kushughulikua nidhamu ya kuwahi kazini hadi mtu mwenye wadhifa wa Uwaziri kukaa getini na attendance register yake?!

Kweli hawa watendaji wa serikali ya awamu ya 5 pamoja na mkuu wao, mzee wa 'pushups' wanaweza kuingizwa kwenye Guiness World records kutokana na 'vioja' vyao!

Imekuwa vyema Magufuli ameligundua hilo na akaona awape semina hiyo elekezi ambayo angalau itawapa mwongozo wa utekelezaji wa majukumu yao.

Maana ilishafika mahali hata ukigongana na Bosi wako kwa 'mademu' wa mitaani, usije shangaa Bosi huyo kesho yake tu kakuvamia ofisini kwako na timu ya watu wa media, akibainisha makosa yako ya 'kufikirika' na hatimaye anahitimisha kwa kukutumbua jipu ambalo hali-exist!

CDM katika ubora wake........
 
Huyu jamaa kwa kukurupuka!!!

Wakati akitangaza Baraza la Mawaziri, Rais Magufuli alisema hakuna haja na hakutafanyika semina elekezi kwao na atakayeshindwa kufanya kazi bila semina elekezi ajiondoe mwenyewe.

Hata hivyo Ikulu imeona umuhimu wa semina hiyo na imeandaa semina elekezi kwa mawaziri wote. Semina hiyo inatarajia kufanyika kesho Alhamisi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Tofauti ni kwamba semina elekezi ya JK ilifanyika Ngurdoto, Arusha lakini semina elekezi ya Magufuli inafanyikia Dar es salaam.

Inadaiwa waandaaji wa Semina hii ni Tume ya Maadili
 
Wakati akitangaza Baraza la Mawaziri, Rais Magufuli alisema hakuna haja na hakutafanyika semina elekezi kwao na atakayeshindwa kufanya kazi bila semina elekezi ajiondoe mwenyewe.

Hata hivyo Ikulu imeona umuhimu wa semina hiyo na imeandaa semina elekezi kwa mawaziri wote. Semina hiyo inatarajia kufanyika kesho Alhamisi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Tofauti ni kwamba semina elekezi ya JK ilifanyika Ngurdoto, Arusha lakini semina elekezi ya Magufuli inafanyikia Dar es salaam.

Inadaiwa waandaaji wa Semina hii ni Tume ya Maadili
Na dressing code wasisahau.manake kina Mwigulu sijui nani kawaambia uvaaji ule ndiyo unaonesha utendaji
 
Kesi zilizomkumba JPM kwa sababu ya ukurupukaji na ufukuzaji wa wakandarasi ni nyingi na karibia zote serikali ilishindwa hivyo kodi yangu , mimi na wewe ndizo zilifidia hasara ya ukurupukaji wa waziri wa ujenzi enzi hizo JPM. Na tayari hadi sasa waliofukuzwa TPA wameshafungua kesi mahakamani. Pia tukumbuke kwamba zile mbwembwe za Magu kwamba pesa za semina zisiendeshe semina ulikuwa ni mkwara tu maana hata yeye alikiri kwamba wakati anaingia madarakani alikuta hazina wamebakiwa na pesa za kulipa mishahara ya watumishi wa umma kwa mizi miwili tu. So alikuwa anafiucha kusema kwamba serikali haina pesa za semina wala za sherehe za wabunge wala za siku ya uhuru. Mbaya zaidi kwa sasa kila waziri anapofika ili kuonesha kumuunga mkono mkuu wake wa kazi {JPM) anafika na kufukuza tu bila kufikiri nini kitafuata. Juzi Anmgelina Kairuki wakati anawafukuza wakuu wa vyuo mvya utmishi wa umma {UHAZILI} alikuwa anasoma maelezo kutoka kwenye vipande vya karatasi vilivyochomolewa kwenye kinote book kile cha buku jelo. Kwa bahati mbaya zaidi hakusoma hata kifungu kimoja kinachompa mamlaka ya kuwakuza watu hao. Aise awamu ya tano huenda tukapna vituko zaidi ya awamu zote zilizotangulia by Mwl.Anderson P.Mukono 24/02/2016 Tabora
 
Naomba tu wasiambiwe wapunguze kasi ya fukuzafukuza........ hakuna kuoneana haya hii nchi watu walidhani ni ya mjomba wao mzaa mama mdogo wake shangazi
Hahahaah nadhani baada ya semina elekezi hii fukuzafukuza itapungua
 
Semina Elekezi au Baraza la Mawaziri? By the way, Rais kukutana na wasaidizi wake kuwaeleza nini anataka haimaanishi kuwa hiyo ni semina
Hebu sema na wewe. Yaani ni marufuku Mh. Magufuli kuongea na mawaziri wake haitakiwi. Halafu mbona ni kutumia akili ndogo ttu. Kisa cha kuongelea Semina elekezi lilikuwa ni nini? Kwa hiyo hiyo Alhamis wanaenda wapi Nguru doto. And yes hali ikizidi kuwa nzuri na utendaji wa kutukuka ukifanyika kwa nini usiwapongeze wafanyakazi wako?!?!?! Nachompendea Mh. Magufuli yeye ni mbele kwa mbele! Na lengo analolo=itaka litatimia la kuwanufaisha wanyonmge of course mlichonacho hamuoni kama kimetosha? kanma kuwaexploit wanyinge hamuoni kuwa imetosha sasa?!?!?!
 
Mh. Magufuli hawa ndio wale mahodari wa kudokoa mstari mmoja wa biblia na kuufanyia kazi badala ya kuangalia essence! Yaani Rais asifanye kazi kwa kuwa alisema hamna semina elekezi? Humuhumu mmekuwa mnapiga kelele ooh mawaziri wanakosea na kweli esp. kufukuza wafanyakazi bila mpangilio sasa anawaita kuwaelekeza bado mnalalamika, what do you really want ? Ukweli kabisa hamsomeki!
 
Back
Top Bottom