Mawaziri hawa wanastahili kuendelea kumsaidia Rais

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,414
Reaction score
9,318
1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili kuendelea.
8. Waziri wa Mipango anastahili kuendela.
Walio baki wanapaswa kuachwa kabisaaa.
 
Aweso, Bashe, Mwigulu, Kitila hawa jamaa walizunguka kwenye kampeni kushadidia wizara zao zilivyofanya. Mzee wa NFRA, Pembejeo, stakabadhi ghalani Bashe aendelee tu na wizara ya kilimo. Mwigulu naye aendelee na fedha zake, kitila na mipango na uwezeshaji. Mawaziri wengine hawakuja kabisa kwenye kampeni kuelezea wizara zao zilifanya nini. Mawaziri wapya wanaweza kuteuliwa pia
 
Yule wa miundombinu mbona hakutembea mikoa mingi kuelezea mabarabara yalivyojengwa? Ina maana nchi hii ilikuwa na miradi ya maji tu? Maana ni aweso tu ndiye aliyezunguka karibu nchi nzima kuelezea miradi ya maji kwenye kampeni. Yule wa wizara ya mambo ya nje hakuona umuhimu wa kuelezea nini tanzania imefanya huko nje kwenye diplomasia? Naona kuna mawaziri wanaweza kubadilishwa kama hawakuendana na haiba za wizara zao
 
1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea.
2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea.
3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea.
4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea.
5. Waziri wa Jinsia anastahili kuendelea.
6. Waziri wa Fedha anastahili kuendelea.
7. Waziri wa Mambo ya ndani anastahili kuendelea.
8. Waziri wa Mipango anastahili kuendela.
Walio baki wanapaswa kuachwa kabisaaa.
Bashe na Mwigulu hawafai kabisa kuendelea kuwa Mawaziri. Wanahusishwa na kashfa chafu na ufisadi.
Umemsikia Mpina akiongelea kampuni ya ITEL, iliyopewa tenda ya kuagiza sukari maradufu ya kiasi kilichohitajika!
 
Waziri wa fedha hapana
 
Msijipangie safu ya ulaji watanzania wapo macho,wameshatoka usingizini wale wahuni ni muda wakurudi kujificha mapangoni.
 
Bashe na Mwigulu hawafai kabisa kuendelea kuwa Mawaziri. Wanahusishwa na kashfa chafu na ufisadi.
Umemsikia Mpina akiongelea kampuni ya ITEL, iliyopewa tenda ya kuagiza sukari maradufu ya kiasi kilichohitajika!
Kuna kashfa kubwa kuliko kuua wananchi wasio na silaha?!!
Au bado anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom