Vijiweni huko mambo sio mambo unaambiwa Mheshimiwa Rais ana Mashine zake kwenye Baraza kwanza yeye mwenyewe anachanganyikiwa nazo.
1.Prof Ndalichako
2. Waziri Mula mula
3. Waziri Dorothy Gwajima
Unaambiwa hicho ndio kikosi kazi kabambe cha Mama Samia na ndio unaambiwa ni Mashine za kuchakata kazi kwenye serikali yake yaani alipo namba moja hata beki hapiti, ikisaidiana na namba mbili ndio straika wa timu pinzani hawakohoi mwisho fungakazi Mulamula ndio utachoka sio refa wa kati sio mshika kibendera lazima mpira uchezwe sasa wewe kataa au kubali lakini mtaani hizo ndio mashine Mama anategemea hapo sasa ndio utajua Mama ana taskforce kabambe sana.