Mawasiliano

Ndo maana mie nimeamua kujitosa kwa majimama 2,haya mapenz ya rika moja ni kuumizana 2.open ur eyes ndugu yangu,huyo mpenzio hakuitaji kabisa,bas 2 wewe unajpendekeza..
 
sasa nikikaa tu siku mbili nashindwa kuvumilia naumia sana mwisho wa siku naamua kumwambia tuachane na inashindikana na ndo anasema eti mwakan anioe jamani kwa staili hii kweli ntaweza mimi

Ahaaa!! Hapa nishakuelewa kitu kimoja, kumbe wewe ni mwanamke na yeye ni mwanaume hiki ndicho nilichokuwa nakitafuta kwanza.

1. Fuatilia historia ya mapenzi yake kama alishawahi kuumizwa, kama aliumizwa ni hofu bado imebaki moyoni mwake anahofu akiwa close sana ataumia tena ingawaje inawezekana anakupenda sana.
2. Uanaume, wanaume wengi though siyo wote usitarajie atakuwa busy saana na simu kukujulia hali hata kama anakupenda, tunapenda kujionesha kuwa sisi ni wananume and we don`t care!! Upo
3. Anatoka katika ukoo au makabila yepi, ni yale yanayokumbatia mfumo dume?? Inawezekana kuwa ni athari zake akiamini kuwa wa kujuliana hali ni jukumu la mwanamke na si mwanaume na atapokea simu anapojisikia yeye!

NB: Usipuuzie hizo sign, vitu vidogo kama hivi vinaweza kukufanya ukaijua tabia ya mtu kabla ya kujiingiza mzima mzima kwenye ndoa ukaanza kulia ukiwa tayari ushafungwa!! Tke care!
 
mtu wangu hebu jalibu kumfuatilia vizur unaweza kukuta kunamtu anaechat nae na kuongea nae mara kwa mara. Au jalibu kubadil namba na umpgie kwa namba nyngne unaweza kukuta anakuzunguka huyo. Mana karne hii mtu anakwambia mawasiliano hayap kipaombele? Mh! Hapo kunaulakin mana hata rais pamoja na majukumu bado anayosimu ya mkonon na anatumia vile vile
 
mapenzi yapo hapa?
  • unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
  • na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
  • anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?
HELP ME
Inategemea, kakufanyia mara ngapi?Je mwanzoni ilikuwa inatokea kitu kama hicho?Je wewe mwenyewe uko swafffi? Hamjakwaruzana?Alipopokea baadae ukamuuliza alikujibuje?Kwani yeye kazi anayoifanya ni ya kumkeep bize kihivyo au ni za kuripoti na kukaa ofisini?jiulize hayo maswali ujue kama umechokwa au bado unabebeka.
 
Back
Top Bottom