Mawasiliano ya simu katika uhusiano udumisha penzi.

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
mawasiliano ni moja ya njia ya kudumisha mapenzi kwa sababu mawasiliano yanaleta ukaribu zaidi na inaonyesha hisia ni jinsi gani unavyomjali na kumpenda kuliko vle unavyokaa kimya bila ya mawasiliano na mpz wako inaonyesha huna ata hamu nae na hauna upendo kwake.
 
unachosema kina mantiki san
kama no communication no relation too maana mawasiliano yana tija kubwa sana
 
Ni kweli.... Ili mradi isiwe mara kwa mara... hua at the end kero...
 
KWA mtazamo wangu, mimi siamini kabisa katika phone communication in love afears. Most of the time we cheat trough phones, i believe in faithfulness, gift and surprise, praise her and meet all her needs, also same way can be applied to women.
 
Back
Top Bottom