Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu

Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu

Ubongo ni bahari!
Ila jinsi kuutumikisha tu ndo huwa kuna uvivu!
Kuna watu wana low thinkin capacity na high capacity.
Kuna watu bana hata wakeshe mnara wa network haupandi ila wengine very intelligent.
As far as i know ht wanasiasa huwa wanacheza na mind zetu sana maana political scince inafundisha sana psycology.haiwezekani mtu anakudanganya kila siku ila bado unaona itakuwa kweli!
Wanasema uongo ukisemwa sana akili zitaamini kwamba ni kweli!
binadam tunaongozwa sana na FALSE POSITIVE na FALSE NEGATIVE.
 
Utajuaje umefanikiwa kufanya iyo ytahajudi kwaumakini
Hatua ya kwanza ambayo wengi hukutana nayo ni kuhisi unaanguka kwenye shimo refu sana au unaelea angani
b1f01086a1d855f39188dd1a5f30590d.jpg

Hatua ngumu ambayo wengi huwawia ngumu kuvuka ni hii hapa, yani ukishakaa tu mkao wa tahajudi picha na mawazo kibao hukuzonga yani ni kama unaangalia video yenye clips fupi fupi , ni sawa na kuuhamisha ufahamu wako kwenda kwenye dunia ya matukio yako ya kila siku ...hapa ndio unauchokonoa mlango wa sita
d924656138313f788f76448b7cc972be.jpg
 
Somo zuri sana mashana jr , nadhani huo mlango wa sita ndio unaosababisha mauhaji katika dunia na nchi yetu.
ivunya mlango wa sita ndio huanza kurekebisha na kuondoa yale makandokando ya ufahamu wa kidunia uliojaa chuki kiburi visasi imani kali ugomvi choyo nk nk....milango hatari sana ni hii mitano
Eti umeambiwa anakusema vibaya
Eti umewaona wakifanya hivi au vile nk nk
 
Nipe mwongozo wa meditation isiwe against na dini mkuuu.
Kuna link imeshawekwa lakini hata kuyashika na kuyafuata kwa usahihi mafundisho ya imani yako bado no meditation tosha
Lakini vile vile waweza ifanya kama sehemu ya afya ya akili na mwili bila kuingiza imani yoyote ile na mara nyingi ni kuepuka kwenda kufanyia kwenye matemple ambayo mara nyingi huifanya meditation kama sehemu ya mafundisho na ibada
 
vya asili na hasa vya kuchemshwa
Kuepuka matumizi ya nyama...
Kuepuka matumizi ya vitunguu
Kuepuka vilevi na kahaba na vinywaji vya viwandani huku ukikazana na tahajudi
asante mkuu, Nina documentary MOJA ya Dogo ambaye amefunga hali wala kunywa chochote, yuko porini ana meditate. Wakati documentary hiyo inatengenezwa Dogo alikuwa ametimiza mwaka na nusu.
Kinacho muonyesha kuwa yuko hai ni kwamba anatoka jasho. Dogo hAja konda wala nini.... yuko chini ya mti kwa majira yote ya mwaka
 
Anakula kupitia milango miwili ngozi na pua/pumzi lakini kupitia sixth sense intuition..ambayo sasa anaelekea kwenye seventh sense
Kuna baadhi ya watu huzikwa hai almradi tu aache mkono mmoja nje kwahiyo mawasiliano yote ni kupitia hapo na hii ndio nguvu kubwa ya breathing meditation
 
Ngastukaa Machale kundesaa.Kumbe ni somo pana lenye kuhitaji kujitambua na utulivu wa akili.
asante sana kwa somo zuri.
Our minds are vast powerful and limitless. ..sijawahi kuona mtu ametosheka maarifa au ubongo umejaa...vinavyojaza ubongo ni uchafu ulioletwa na binadamu uchafu wa tamaa hamu ya kumiliki uchoyo roho za visasi husuda starehe na kutopenda kukubaliana na hali zilizopo
 
Anakula kupitia milango miwili ngozi na pua/pumzi lakini kupitia sixth sense intuition..ambayo sasa anaelekea kwenye seventh sense
Kuna baadhi ya watu huzikwa hai almradi tu aache mkono mmoja nje kwahiyo mawasiliano yote ni kupitia hapo na hii ndio nguvu kubwa ya breathing meditation
Duuu haya mkuu
 
asante mkuu, Nina documentary MOJA ya Dogo ambaye amefunga hali wala kunywa chochote, yuko porini ana meditate. Wakati documentary hiyo inatengenezwa Dogo alikuwa ametimiza mwaka na nusu.
Kinacho muonyesha kuwa yuko hai ni kwamba anatoka jasho. Dogo hAja konda wala nini.... yuko chini ya mti kwa majira yote ya mwaka
Nimewahi check hiii kituuu wakina Sharma hao, hadi ikibida wamjengeee uzio asisumbuliwe kumaliza meditation yake.

Ila inataka time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom