Bahatinasibu
Member
- Oct 22, 2021
- 96
- 116
Asante
Kwa Mtaalam wa koo na PuaUna ugonjwa gani au unataka kwenda clinic gani?
J4 naenda Bugando nitaulizia dr wa hiyo clinic anakuwepo siku zipi nitakujuza au nitakuombea mawasiliano yaoKwa Mtaalam wa koo na Pua
Nitashukuru sanaJ4 naenda Bugando nitaulizia dr wa hiyo clinic anakuwepo siku zipi nitakujuza au nitakuombea mawasiliano yao
Daktari wa koo na puaClinic gan unaenda?
Nitashukuru sanaOkay nina namba za department hapo bugando nitakupa
Boss vipi ulienda Bugando?J4 naenda Bugando nitaulizia dr wa hiyo clinic anakuwepo siku zipi nitakujuza au nitakuombea mawasiliano yao
Asante kwa ushauriMadaktari wanajuana.
Nenda ulipo waelezee ugonjwa. Wakisema procedure waambie huna pesa ila unaishi Mwanza.
Watakuunganisha na wa huko Bugando ili ukipata pesa utibiwe.
Au waambie umetibiwa sana kwao na haujapona omba wakuunge na bingwa wa Bugando