Kutokana na mpango wa REA (umeme vijijini) kutotufikia hapa kwetu nnje kidogo ya Dsm. Mawasialiano husumbua kidogo nyakati fulani tunapokuwa tumepeleka simu chaji kwa mwenyekiti ambaye ndiye mwenye Solar ya kijiji!!
Kama ku~charge tu cm ni shughuli hao mazezeta wa kijani wanaotuambia treni za umeme zinakuja ni kwamba wanawaza kwa makalio badala ya vichwa au ndio kukalia ubashitebashite???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.