Mawasiliano katika mahusiano

Mawasiliano katika mahusiano

kwa kweli communication ni key kwenye relationships ,mtu akikuudhi unamwambia sio kukimbia kuleta thread JF!
 
Aliumiza hisia zangu nikamwambia kuwa kuna kitu amefanya kimeniumiza. Amenuna, hanitext wala kupiga. Leo ni siku ya 5. Sijui ndo tumebreak up.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimenuna kwasababu ile sms yako ya usiku sikuipenda ndio maana. Na kwanini usinitafute mwenyewe uje hapa kunisema? Unajua bado nakupenda lakini ukimya wako naelewa kusudio lako.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom