Mawasiliano katika mahusiano

Mawasiliano katika mahusiano

Ingekuwa wewe ungefanyaje mpendwa. Mtu kafanya kitu hujapenda, umemwambia den instead ya kucommunicate muyamalize ,anakaa kimya tu. Yani kanipa silent treatment au lugha nyingine ni stonewalling. Sasa hiyo ni emotional abuse, nitavumilia hadi lini. Ingekua wewe ungemtafuta?
Ukifanya hivyo utaachana na wengi,na mwisho wa siku unajikuta umetafunwa na watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa wewe ungefanyaje mpendwa. Mtu kafanya kitu hujapenda, umemwambia den instead ya kucommunicate muyamalize ,anakaa kimya tu. Yani kanipa silent treatment au lugha nyingine ni stonewalling. Sasa hiyo ni emotional abuse, nitavumilia hadi lini. Ingekua wewe ungemtafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yuko 30+ ni mtu anayejielewa mpe mwaliko,natumaini atafika na jaribu kusuluhisha kasoro zenu
 
Katika uhusiano wowote ule mawasiliano ndio nguzo kuu, je nini kilitokea mpaka ukaacha kuwasiliana na mtu ambae mlikuwa mna mawasiliano hai na yenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah nilikua najari sana, nnajiunga hadi dakika ma elfu na maelfu ili kila siku nihakikishe namjulia hali, najua yapi magum au mazuri yame mpata kwa siku ili tujue nivip yatatuliwe, yaan ilifika hatua nkawa naonekana namkera sasa, hatKi tena kuniskia kwanza nkipiga anapokea either anadai yupo bize au ananifoka kama mtoto

Dah nilianza kuchoka mwanaume maana hata mim pia kazi nilkua nazo kibao ila I used to sucrifice atleatst a minute kumjulia hali ila mwenzangu akaniona boya,

Sasahivi ndo kwaaanza hata simuwazii, ntaish pekeangutu hivyo hivyo nshazoea, maans cmpaka kila mtu awe na mpenzi/mchumba,

"I will marry when I want"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa wewe ungefanyaje mpendwa. Mtu kafanya kitu hujapenda, umemwambia den instead ya kucommunicate muyamalize ,anakaa kimya tu. Yani kanipa silent treatment au lugha nyingine ni stonewalling. Sasa hiyo ni emotional abuse, nitavumilia hadi lini. Ingekua wewe ungemtafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana huo ni udhaifu wake hilo ni tatizo lkn ttz zaidi ni ww kutokujishusha kwan yee kanyamaza wee km unampenda na unajali mahusiano yenu y ucmtafute?selfish imeua mapenzi mengi mno! Km unapenda kubembelezwa nawe bembeleza in short usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio pia jifunze kujishusha mwenzio anapopanda huwez kua mtumwa na km mtu anajielewa atachange!take it or leave it as it is!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nilikua najari sana, nnajiunga hadi dakika ma elfu na maelfu ili kila siku nihakikishe namjulia hali, najua yapi magum au mazuri yame mpata kwa siku ili tujue nivip yatatuliwe, yaan ilifika hatua nkawa naonekana namkera sasa, hatKi tena kuniskia kwanza nkipiga anapokea either anadai yupo bize au ananifoka kama mtoto

Dah nilianza kuchoka mwanaume maana hata mim pia kazi nilkua nazo kibao ila I used to sucrifice atleatst a minute kumjulia hali ila mwenzangu akaniona boya,

Sasahivi ndo kwaaanza hata simuwazii, ntaish pekeangutu hivyo hivyo nshazoea, maans cmpaka kila mtu awe na mpenzi/mchumba,

"I will marry when I want"

Sent using Jamii Forums mobile app
Gud! Wanaringa mno hasa wakiwa wanajiona bd wanadai that's y now days single mothers kibao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana huo ni udhaifu wake hilo ni tatizo lkn ttz zaidi ni ww kutokujishusha kwan yee kanyamaza wee km unampenda na unajali mahusiano yenu y ucmtafute?selfish imeua mapenzi mengi mno! Km unapenda kubembelezwa nawe bembeleza in short usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio pia jifunze kujishusha mwenzio anapopanda huwez kua mtumwa na km mtu anajielewa atachange!take it or leave it as it is!

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante but hiyo sio mara ya kwanza anafanya hivyo. Kujishusha na kubembeleza ni muhimu, lakini hadi kosa liwe lake mm ndo nijishushe, nahisi nimemzoesha vibaya. And imefika point amezoea kuwa nikimlalamikia ananuna alafu nitambembeleza den maisha yataendelea. Sidhani kama ni kitu kizuri. Ni kujengeana mazoea mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In short many ladies not all are selfish completely, wabinafs mno mno mnaweza kua mnafanya kazi wote lkn mshahara wake huuoni kisa umemuoa wanaume tunageuka watumwa wao,familia zetu,familia za upande wetu na kwao pia ndo maana wanaume tinakufa mapema nenda mijini eg.k/koo nyumba nyingi ni za wajane waume kwishney sio kwa kulogwa bali kwa kufanywa watumwa wanaloose more power kwa kufanywa watumwa na mauzi ya kunyimwa papuchi na kadhalika uhai unakua mfupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niseme ukweli hapa nikishamvua demu kachupi maongezi huisha. Sina mambo wala hujambo nilichotaka nishapata sasa maongezi ya nini? Halafu kuna wadada wengine wanaboa kichizii unaongea nae hafla unasikia anakoroma dadeki zake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom