Mawasiliano katika mahusiano

Mawasiliano katika mahusiano

Katika uhusiano wowote ule mawasiliano ndio nguzo kuu, je nini kilitokea mpaka ukaacha kuwasiliana na mtu ambae mlikuwa mna mawasiliano hai na yenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa tunawasiliana vizuri,but akaanza kuchange ghafla .Kumuuliza hajibu kinachoeleweka.Nikaghairi.Japo bado nampenda, ila imenibidi mimwache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoteza simu na siku simu imepotea ndo ilikuwa tumepanga nikamle daaah niliumia sana

Nilifanya mchakato wa renew line hatua zikawa nyingi sijui mpaka niende police mambo kibao
 
Back
Top Bottom