Mawasiliano kampuni ya kilimo SUMRY Rukwa

Mawasiliano kampuni ya kilimo SUMRY Rukwa

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,087
Reaction score
1,896
Habari zenu wana jamiiforum, nahitaji mawasiliano hususani sanduku la posta na email ya kampuni ya kilimo ya Sumry Rukwa.
 
Cheki na mtu wa nguvu Millard Ayo,vp unataka ukanunue ile stock yote ya mahindi?
 
Naomba unisaidie namba sake (Millard Ayo)
 
Habari zenu wana jamiiforum, nahitaji mawasiliano hususani sanduku la posta na email ya kampuni ya kilimo ya Sumry Rukwa.

HABARI,
Jaribu haya mawasiliano ya zamani ya kampuni ya mabasi na sanduku laposta la dar.
Kwa kupitia mawasiliano haya nadhani utampata.

Sumry Bus Services Ltd.
  • Kipata Street, Dar es Salaam, Tanzania
  • +255 -22-2180169 ,+255-787- 005060,+255- 715- 777230/717
  • www.Sumrybusservice.com
P. O. Box : 20739

Region: Dar es salaam

LUMUMBA
 
Back
Top Bottom