Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

wewe jamaa umepungukiwa busara kwenye medula yako, na unahitaji maombi kunusuru jamhuri ya maamuzi yako kabla ya kuzungumza mbele ya hadhira ya wanajamii waliostaarabika wa jamii forums, kukashifu taaluma ya wenzako hakukupi wewe maendeleo unayoyataka isipokuwa satisfaction ya muda mfupi baada ya kupost hapa na wewe kuendelea na maisha yako mabaya yenye chuki kwa wanasheria, ila kwa kiasi fulani naona kama unawapa tangazo hao uliowataja ambao umedai wananafuu, kwa bahati mbaya matangazo hayaruhusiwi katika taaluma hii na wewe unaweza kushtakiwa kwa kuwapigia chapuo hao uliowataja kama mawakili wenye nafuu, ili kwa kutimiza tangazo lako nawe upate ujira wa kununua bundle ya kuja kupost humu tena,
hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
Jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.
Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
kwa bahati mbaya matangazo hayaruhusiwi katika taaluma hii
mimi sijamwelewa huyu bwana mdogo, inavyoonekana unamaisha ya shida shida sana, yaani upo upo tu hapa mwanza.. Sijakuelewa kabisa lengo lako ni nini,.
hahaaa kuna mmoja anaitwa Nkanda yaani anashinda kwenye mapipa ya komoni ...akija mahakamani ananuka komoni mwanzo mwisho ...
sio LINCHI, it is a common law practice, Matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....Hivi kwa nini watu hawaruhusiwi kutangaza huduma wanazotoa?
Rationale ni nini hasa?
Yaani hili linchi linaendesheshwa kijinga sana. Mtu kama unatoa huduma fulani watu watajuaje sasa kama huruhusiwi kuzitangaza?
Ila kwa bahati nzuri hilo katazo litaondolewa kama bado halijaondolewa tayari.
hahaaa kuna mmoja anaitwa nkanda yaani anashinda kwenye mapipa ya komoni ...akija mahakamani ananuka komoni mwanzo mwisho ...
acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care