wacha ubaguzi weweInadhihirisha watz tusivyojipenda ama kuwapenda watu weusi wenzetu.
Muhindi yeyote yule si wetu huyo.....
Mengi kawajibu vizuri sana,....ooohhh my God,...Sofia ni kilaza na zezeta.
Nani kakwambia Wakatoliki inendeshwa kihaki? ill informed!!! watoto kibao wa kiume wamelawitiwa na mapadre, bado mfalme wao anawatetea na kuwalinda, Rome haina tafauti na CCM mafisadi wanalindwa, wanalindana kwa taarifa yako
umeleta udini wako hapa,kuna walawiti wakubwa kama masheikh? kwikwikwi
Wana JF, najua kila mtu anayo haki ya kum-engage wakili amtetee katika kesi yake. Lakini hii ya mawakili kuwatetea mafisadi mahakamani je mawakili wanaokubali kuwatetea ni wazalendo kweli au kwao la muhimu ni business? Na lengo la kuwatetea hawa mafisadi si ni kwamba washinde kesi na kuachiwa? Je mawakili hawa wana uchungu na mali za nchi yetu? I'm not biased nachokoza mada tu tuijadili.
Nenda ufungue vitabu vya sheria vinasemaje au waulize wanasheria utapata majibu mazuri sana.

Mimi sidhani kama hilo lina ubishi. Lakini kwani mawakili hawaruhusiwi kupima hali halisi na kuangalia aina ya mtu anayemtetea? Kuna usemi wa madaktari unaosema kuwa "diseses never read books". Kwani hilo haliwahusu mawakili?
Salva Rweyemamu aliambulia kazi ya ukurugenzi Ikulu at the expense of his dignity among his fellow jounalists kwani he proved that he is a mamluki!!Hao wanaotetea mafisadi wasome barua ya Salva kwa fisadi wake na waone kama ukitetea fisadi akifanikiwa atakukumbuka. Fisadi ni fisi aktakula mpaka atapike na ale matapishi yake na atapike tena.