richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Habari, natafta watu wa kufanya nao biashara ya bidhaa za urembo hususani wa ngozi na nywele, nahitaji watu waliopo mikoa ya mbeya, mwanza, tanga, kahama na kagera.. Nahitaj mtu alietayari awe ni mchangamfu asie na aibu, anaejiamini, na alie na nidhamu nzuri.... Ambae anahitaji kufahamu zaidi ani pm....