Umetoa binge la wazo, yaani inabidi mawakala hao wawe kwanza wamejitoa kiroho safi kabisa
Askofu Gwajima na Kakobe watupatie waumini wao wazuri ambao wameokoka na hawapokei rushwa
Umetoa binge la wazo, yaani inabidi mawakala hao wawe kwanza wamejitoa kiroho safi kabisa
Japokua Imani zinaingiliana...mimi nashauri mawakala wote wakasomewe kurani takatifu,na mda wakala anaapa,amalizie kwa kusema nikiujumu ukawa NIFE KIFO KIBAYA.
Mkuu,
Tatizo ninaloliona hapa ni huo mnao usema ati ni uzalendo. Yaani umfanye mtu kuwa mzalendo kwa siku moja tuu?? Hili lilitakiwa liwe ndio kipaumbele chetu tangu mwanzo. Tungalikaa nao kwenye makambi mbalimbali na kuwachunguza na kuwachuja. Majimbo 266 sio mengi kama tungedhamiria.
Hofu yangu, mihela inayomwagwa na ccm. Usipime!!! Yaani wanafanya kufuru. Sasa huu uzalendo upo tena Tz hii kweli?? Mtu atoke home hana mlo wa siku hiyo. Pengine kawaacha watoto hawana mlo. Amekuja tangu asubuhi mpaka asubuhi nyingine. Ushauri wangu, Wapeni posho nzuri wala si sh 20.000/=, mpo?? Walipeni vizuri, waapisheni watalinda. Kinyume cha hapo, tumeumia kwani goli la mkono hiloooo. Ile tofauti ya milion 6 alio isema m/kiti wao ni hapo inakuja kujumlishiwa tu.
Ni mawazo yangu tu, ila sijauona uzalendo huu hapa kwetu mbele ya mshiko unaomwagwa na ccm. Nakuambia ni kufuruuuu
ntakuwaje mzalendo wakati M/kiti mwenyewe amevuta BILION kazaa kwa ED Halafu wakagawana watu wa chache tu halafu mim et niwe mzalendo kwa hao makuadi wa siasa huku mim nikiwa sijui hatma yangu baada ya hapo , nikiwa nalipwa lets say 100000, akija mtu na 2..3,..4..ml nikiacha hata mbowe mwenyewe angeniona boya...nasema hivi kila mmoja anakula kulingana na ukubwa wa kamba yake . kipindi hiki
Askofu Gwajima na Kakobe watupe waumini wao walokole wasiohongeka watisaidie.
Wameandaa pesa feki kwa ajili yakuwahonga mawakala ukawa mkuuu halafu wataita polisi wawasachi mawakala Wa ukawa then watakapokutwa na hizo hela feki watapelekwa kituo cha polisi na hapo ccm watapiga goli la mkono kiulainiii
ni vizur viongoz wa ukawa waanze kuwaandaa mawakala wao mapema hasa maeneo ya vijijini...
ni vizur viongoz wa ukawa waanze kuwaandaa mawakala wao mapema hasa maeneo ya vijijini...
Kweli ndugu YANGU.ni Mungu. Hawa mawakala hasa wa UKAWA wanapaswa wawe ni watu wa pekee