Mawakala wa mikoa ya Mwanza,Morogoro na Arusha Wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wa mikoa ya Mwanza,Morogoro na Arusha Wanahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, Jul 3, 2012.

 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kampuni ya Teacher's Junction yenye makao makuu yake Mtaa wa Dosi,Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam,
  wanaojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule(mwajiri).
  wanatangaza nafasi za Mawakala kutoka mikoa ya Arusha,Mwanza na Morogoro kwa ajili ya kufanya connection za mashule mikoano humo.
  SIFA ZA MWOMBAJI:
  1.Awe na elimu kuanzia kidato cha sita,.
  2.Awe mkazi wa kudumu wa mkoa husika
  3.Awe mwenyew kuzifahamu au kufahamiana na wenye mashule.
  4.Muongeaji na mwenye kujituma.
  MALIPO YANAFANYIKA KWA COMMISSION NZURI SANA.
  MAWASILIANO:
  SIMU +255713-810857
  EMAIL: teachersjunction@yahoo.com
  au facebook page: teacher's Junction
  Nafasi itatolewa bila upendeleo.
  kuwa mmliki wa Teachers Junctioin mkoani kwako. wote mnakaribishwa.
   
 2. C

  Criss Alex Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kidato cha nne je?
   
 3. C

  Criss Alex Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kidato cha nne je?
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Standard four ya mwaka 1967 vipi?
   
 5. S

  Sebby New Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina diploma ya computer engeneering{IT} wth sm certificates, vp inalipa?
   
 6. C

  Criss Alex Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh! We mwenye diploma ya it nitafute nikupe data za job!
   
Loading...