Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika wanahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Mar 28, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mawakala wa kuuza magari yaliyotumika (used motor vehicles) wanahitajika kote nchini. Tuma maelezo yako wapi hupo, yaani mkoa unaotoka majina yako na nambari zako za simu yako,anuani ya barua pepe(email address). Pia unaweza kutuma maelezo mengine yanayo kuhusu wewe kama elimu yako, jinsia na umri wako. Hata kama haujui magari yanauzwa vipi ila unayo nia tutumie habari zako tutakuelekeza namna ya kuwa muuzaji mzuri. . Kitomai.1stchoice@gmail.com au piga simu 0717114409/0755312233/0784225000
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kitomai,

  Mzee nauza Corona Exiv yangu bana (used in Tanzania)!.
   
 3. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nitumie picha katika hiyo email.address au tuwasiliana kwa simu mapema
   
Loading...