Mbona juzi tuu walikua wanalalamika bei ya mahindi shambani imeshuka sana na imekua hasara kwa wakulimaTujiandae kupanda kwa bei ya mahindi..mavuno mwaka huu yamesuasua. Zambia production zimeshuka by 34 %. Tanzania bado sijaona taarifa zao. Mahindi sasa yapo mikononi kwa wafanya biashara...nimejaribu kutafuta kwa wakulima sipati...
Mimi nimetahadharisha tu mkuu kutokana na dalili zilizoko huku Sumbawanga. Huko kwingine sijui.Mbona juzi tuu walikua wanalalamika bei ya mahindi shambani imeshuka sana na imekua hasara kwa wakulima
Kama unahitaji mahindi tutafutane mkuu,yapo pwani nauza 40,000 kwa gunia kwasasa...Tujiandae kupanda kwa bei ya mahindi..mavuno mwaka huu yamesuasua. Zambia production zimeshuka by 34 %. Tanzania bado sijaona taarifa zao. Mahindi sasa yapo mikononi kwa wafanya biashara...nimejaribu kutafuta kwa wakulima sipati...
Wapi apo nije sasa ivi?nilipo hapa gunia 18000 wanunuzi hamna
SwangaWapi apo nije sasa ivi?
NotedSwanga
Vip bei ya mpunga kwa gunia imefikia ngapi kwa sas?Nimeanza kupokea simu nyingi kuulizia mahindi. Wakati wa mahindi kupanda umewadia. Congo, Zimbabwe, Zambia, Malawi wameanza kuja katafuta mahindi hapa Sumbawanga...
Bei ya mpunga sifahamu mkuu...nadili na mahindiVip bei ya mpunga kwa gunia imefikia ngapi kwa sas?
Mkulima anufaike vipi na wewe, mkulima kauza bei ya hasara kwa mlanguzi (mlanguzi kayahifadhi) huyo ndo atakayenufaika.Bora yapande bei, tena yapande Kweli Kweli ili Mkulima aweze kunufaika na jasho lake Mwenyewe.